NIPASHE

Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Rashid Mchatta akisalimiana na Mratibu wa Mradi wa Shule Bora Mkoa wa Rukwa kutoka Cambridge Education Tanzania (CETL) John Shindika baada ya kumaliza mafunzo yaliyoandaliwa na CETL kwa waandishi wa Habari, maafisa habari na wakuu wa Radio za jamii mkoani humo kwa lengo la kuwapa uelewa kuhusu Mradi wa Shule Bora, yaliyofanyika mjini Namanyere Nkasi Mkoani Rukwa Jana.