NIPASHE

19Aug 2019
Marco Maduhu
Nipashe
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Richard Abwao, alisema watuhumiwa hao walikuwa na mtambo wa kufyatua madini hayo bandia ya dhahabu ambayo...
19Aug 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Takwimu za Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani zinaonyesha katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2013 hadi 2017, kiwango cha ajali kimeshuka huku makosa yanayotokana na uzembe wa madereva...
19Aug 2019
Beatice Moses
Nipashe
Mwenyekiti wa SADC, Rais Dk. John Magufuli, alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati akifunga mkutano wa 39 wa viongozi wakuu wa nchi hizo na serikali. Alisema Kiswahili kitatumika rasmi katika...
19Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wake hao wa marais wakiongozwa na mwenyeji wao Mama Janeth Magufuli, walitembelea Kijiji cha Makumbusho, Barabara ya Bagamoyo na Makumbusho Nyumba ya Utamaduni iliyoko mita chache kutoka ukumbi wa...
19Aug 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Programu hizo ni kuboresha uwekezaji na mazingira bora ya biashara (SIBE), Programu ya kuwezesha biashara kufanyika kwa urahisi (TFP) na Programu ya kusaidia viwanda na sekta za uzalishaji (SIPS)....

WAKUU wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)

19Aug 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Pia wamekubaliana kulinda mimea na mazao yanayopatikana katika ukanda wa nchi za SADC.Wakuu hao ni kutoka nchi za Zambia, Afrika Kusini, Angola, Msumbiji, Lesotho, Eswatini, Tanzania, Malawi, Namibia...

Mwekezaji wa Simba, Mohamed 'Mo' Dewji, akisherehekea na wachezaji wa timu hiyo kwa kunyanyua juu Ngao ya Jamii baada ya timu hiyo, kuitwaa juzi kwa kuifunga Azam FC mabao 4-2 kwenye mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa. PICHA: MPIGAPICHA WETU

19Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Wakati mashabiki wakihesabu taji la kwanza, Aussems aahidi kufanya kweli huku akieleza...
Simba ambayo imetwaa Ngao hiyo ya Jamii kwa mara ya tatu mfululizo na ya tano kwa ujumla wake, ilipata mabao yake kupitia kwa Msudan, Sharaf Eldin Shiboub aliyefunga mawili kipindi cha kwanza kabla...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini  mwa Afrika (SADC), Rais John Magufuli akiagana na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa na Rais wa Namibia, Dk. Hage Geingob, baada ya kufunga  rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, jijini Dar es Salaam jana. PICHA: IKULU

19Aug 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mkutano huo ulioanza kwa maonyesho ya viwanda Agosti 5, mwaka huu na juzi na jana ulihitimishwa kwa wakuu wa nchi hizo kukutana na kujadiliana baadhi ya ajenda kisha kutoka...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc), John Magufuli ambaye ni rais wa Tanzania.

18Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza leo Jumapili Agosti 18, 2019 kabla ya kuhitimishwa kwa kilele cha mkutano wa wakuu wa nchi hizo,  Rais Magufuli amesema wameagiza Sekretarieti kuanzisha chombo cha kukabiliana na majanga...

Kiboko na mamba.

18Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ameitoa kupitia ukurasa wake wa Twitter na kusema "Uhifadhi na ulinzi wa maliasili nchini umeimarika na tumepata mafanikio makubwa sana. Ujangili tumeudhibiti kwa mafanikio makubwa sana....
17Aug 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
wameachana na usumbufu huo , baada ya mradi wa maji uliogharimu  Sh.milioni 229 kuzinduliwa jana. Mradi huo unatoa lita 352,800 kwa siku, sawa na lita 14,700 kwa saa, unahudumia watu kwa...

Sauti Sol

17Aug 2019
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi wa Kampuni ya TIST International Limited waandaaji wa tamasha hilo, George Kyatika, alisema wamekuja na tamasha hilo litakalokuwa likifanyika kila...
17Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu, aliyasema hayo juzi alipozungumza na wadau wa utalii nchini katika kongamano la utalii lililofanyika mkoani Arusha.Alisema serikali kwa...
17Aug 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Alitoa pongezi hizo jana kwenye kikao cha wadau wa utalii kilichofanyika jijini Arusha kikiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.Alisema katika kuhakikisha sekta hiyo inazidi kuimarika na...

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angeline Mabula

17Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Mabula alitoa agizo hilo juzi katika ziara yake ya kuhamasisha ukusanyaji maduhuli ya serikali kupitia kodi ya ardhi na kukagua masjala ya ardhi na mifumo ya ukusanyaji kodi kwa njia ya...
17Aug 2019
Woinde Shizza
Nipashe
Aidha, Arusha inamaliza mwaka ikiwa imekusanya mapato kwa zaidi ya asilimia 105 na kuwa kinara kitaifa, kwa mujibu wa Meya wa Arusha , Kalisti Lazaro.Meya aliyasema hayo jana alipozungumza na vyombo...
17Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
KMC FC ikiwa ugenini Rwanda, ililazimisha sare tasa, hivyo inahitaji ushindi wowote katika mechi ya marudiano itakayopigwa Uwanja wa Taifa kati ya Agosti 23-25, mwaka huu ili kusonga mbele.Kaulimbiu...
17Aug 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Kufuatia vifo hivyo, idadi ya wagonjwa waliobaki katika hospitali hiyo kubwa zaidi nchini ni 25 kati ya 46 waliokuwa wamefikishwa kupatiwa matibabu.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...

MKUU wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi

17Aug 2019
Said Hamdani
Nipashe
Kiongozi huyo wa mkoa alitoa agizo hilo juzi katika kikao kazi cha watumishi wa halmashauri kilichofanyika kwenye Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.Zambi alisema amelazimika kutoa muda huo kutokana na...
17Aug 2019
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mbinu inayonusuru mabinti  mimba utotoni, yawajaza  uthubutu, kujiamini, waiva kiuongozi
Ni kwa nadra, watoto hao wa shule za msingi wakiwa nje ya ngonjera na michezo ya kuigiza  wanaweza wakaongea kwa kujiamini, kujitambua na tena bila woga wakatoa hoja zenye mashiko zinazowagusa...

Pages