NIPASHE

Naibu Waziri wa madini Prof.Shukrani Manya akizungumza kwenye ufunguzi wa maonesho ya Biashara na Teknolojia ya madini mkoani Shinyanga.

26Jul 2021
Marco Maduhu
Nipashe
Naibu Waziri wa Madini Prof. Shukrani Manya, amebainisha hayo jana kwenye ufunguzi wa maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini mkoani Shinyanga, kwa niaba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.Alisema...
26Jul 2021
Said Hamdani
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, ACP Mtatiro Kitinkwi, amethibitisha kutoa kwa tukio hilo na kueleza kuwa wanamshikilia mtu mmoja kutokana na kifo cha mtoto huyo. Wakizungumza na Nipashe, baadhi...
26Jul 2021
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Abel Makubi, wakati akizungumza na waandishi wa habari. “Kutokana na mwenendo wa ugonjwa wa corona nchini,...
26Jul 2021
Richard Makore
Nipashe
Wiki iliyopita Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi, alithibitisha kwamba walimkamata Mbowe alfajiri ya Jumatano na kumsafirisha kwenda Dar es Salaam kwa mahojiano kwa makosa mengine...
26Jul 2021
Renatha Msungu
Nipashe
Prof. Mkenda alitoa kauli hiyo juzi alipokuwa akifunga Wiki ya PASS Trust jijini Dodoma na kuzinduliwa kwa Kampuni ya Leasing ya kukopesha wakulima zana za kilimo bila dhamana na kwa riba nafuu.  ...
26Jul 2021
Nebart Msokwa
Nipashe
Aidha, inadaiwa kuwa kukosekana kwa soko la uhakika la maziwa hayo kumesababisha baadhi ya wananchi kuanza kuuza mifugo yao ili wawekeze kwenye shughuli zingine ambazo zinawalipa. Mbunge wa...
26Jul 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na randama ya maelewano iliyosainiwa na mashirika hayo mawili, ushirikiano huo unalenga kuongeza upatikanaji wa mitaji kwa Vyama vya Msingi (AMCOs) 29 na kuwanufaisha wakulima 2,900 walio...
26Jul 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
…Aishukuru Dortmund kumpa nafasi na alijua atarudi England kwa…
Sancho ndiye mchezaji wa pili wa England mwenye thamani ya juu baada ya mchezaji mwenza wa United, Harry Maguire na amesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea klabu hiyo. “Naishukuru Dortmund kwa...

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi, Robert Gabriel Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa ‘ NMB Mining Club’ kwa Kanda ya Ziwa.

26Jul 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lengo la mpango huo ni kuunga mkono juhudi za serikali za kuongeza tija katika sekta ya madini nchini.Akizungumza jijini Mwanza wakati wa uzinduzi wa Klabu la Wachimba Madini Kanda ya Ziwa, Mkuu wa...
26Jul 2021
Saada Akida
Nipashe
Mtibwa Sugar imefanikiwa kubaki katika ligi, baada ya kupata matokeo mazuri katika michezo yake miwili ya Play Off kwa kumfunga Transit Cape FC. Akizungumza na gazeti hili jana, Badru alisema...
26Jul 2021
Saada Akida
Nipashe
Azam imeachana na beki wa kati, Yakubu Mohammed, kiungo Ally Niyonzima, mshambuliaji, Mpiana Monzinzi walioingia makubaliano ya kuvunjiwa mkataba na Obrey Chirwa ambaye mkataba wake umemalizika....
26Jul 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe
…Yalipa kisasi kwa watani zao wakati Tonombe akiipa pancha Yanga kwa kulimwa kadi nyekundu…
Lwanga aliunganisha mpira kwa kichwa kwa kona iliyopigwa na Luis Miquissone na mpira ukawapita mabeki wa Yanga na kipa wao, ukajaa wavuni. Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga umeifanya timu hiyo...
26Jul 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Timu hiyo yenye maskani yake Msimbazi, siku ya mwisho iliichapa Namungo mabao 4-0 na kumaliza ligi ikiwa na pointi 83, kwa mechi 34 ilizocheza. Katika mechi hizo ilishinda michezo 26, sare tano na...
26Jul 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Klabu kamwe haijawahi kuwa na woga kwenye matumizi ya fedha katika kusajili mchezaji yoyote, na hilo limewasaidia kushinda mataji 13 ya Ligi Kuu pamoja na mengine ya nyumbani na Ulaya. Huku wakiwa...
26Jul 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Straika huyo mwenye umri wa miaka 27 kwa mara ya kwanza alidokeza mpango wake wa kutaka kuondoka Spurs Mei, mwaka huu, kabla ya kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya England kwa ajili ya michuano...
24Jul 2021
Renatha Msungu
Nipashe
Pinda aliyasema hayo jana wakati akifungua wiki hiyo inayofanyika katika Viwanja vya Nyerere Square jijini hapa.Alisema wakulima wengi hivi sasa hawaijui PASS inafanya nini dhidi yao, hivyo ni vyema...
24Jul 2021
Paul Mabeja
Nipashe
Mtaka aliyasema hayo jana jijini Dodoma alipokuwa akizindua bidhaa mpya ya Mwalimu na Ujasiriamali iliyoanzishwa na benki hiyo kwa ajili ya kukopesha mashine za uzalishaji mali.Alisema walimu...
24Jul 2021
Ashton Balaigwa
Nipashe
Chuo hicho kinatekeleza mradi wa pamoja wa kupunguza umaskini kwa wakulima wadogo mkoani morogoro.Wanafunzi hao wanaosoma kwa njia ya mtandao kutokana na changamoto ya usafiri iliyosabishwa na...
24Jul 2021
Rahma Suleiman
Nipashe
Akitoa takwimu za uingiaji wa wageni kwa waandishi wa habari ofisini kwake Mzazini, Mkuu wa Takwimu za Kiuchumi kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Abdulrauf Ramadhani Abeid, alisema Ufaransa...
24Jul 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Azam FC ambayo imemaliza msimu uliopita katika nafasi ya tatu, nyuma ya mabingwa Simba na Yanga iliyoshika nafasi ya pili, ni moja kati ya timu nne za Tanzania zitakazoshiriki mashindano ya kimataifa...

Pages