NIPASHE

21Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Polisi wana silaha nzito, wao wana mawe
Wengi wao walikuwa wamebeba mabango yaliyokuwa na ujumbe uliosomeka 'Down with Afrikaans' na ‘Elimu kwa Wabantu’ iende kuzimu’ . Baadhi yao, walikuwa wanaimba nyimbo za uhuru.Mkusanyiko huo wa...
21Jun 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Iliyowasilishwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk Philip Mpango, Tanzania inalenga kuwa ya mapinduzi ya viwanda. Mpango anasema mapinduzi hayo yanayokusudia kukuza uchumi kwa kuangalia...
21Jun 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Ipo umbali wa mita 3,000 toka usawa wa bahari huku hali ya hewa ikiwa ni ya baridi Ili kufika hifadhini unapandisha milima na maporomoko ya maji, mabonde yenye mvuto wa kipekee na uwanda wa nyasi...

MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Wilson Nkhambaku

21Jun 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Alisema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya wakulima ya kuhamasisha matumizi ya mbegu bora za maharage kutoka kwa Wakala wa Mbegu za Kilimo wa Taifa (ASA), yaliyofanyika mwishoni mwa wiki....
21Jun 2016
Idda Mushi
Nipashe
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar, Juma Ali Juma, alisema hayo kwenye uzinduzi wa mradi wa kuongeza tija na uzalishaji katika zao la mpunga, unaotekelezwa na...
21Jun 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Aidha, serikali ya kijiji hicho pia imetangaza adhabu nyingine ya viboko 10, kwa watu watakaobainika kutumia vibaya fedha za kusaidia kaya masikini zinazotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf...

Prof. Ibrahimu Lipumba

21Jun 2016
Rose Jacob
Nipashe
Akizungumza na Nipashe katika ofisi za wilaya za chama hicho jana, Katibu wa Wilaya wa CUF, Rehema Mwendwa, alisema Prof. Lipumba, hakuondoka katika chama kwa ugomvi bali kwa sababu za kupinga...
21Jun 2016
Mhariri
Nipashe
Tasaf ilianza kutekeleza mpango wa kuzinusuru kaya maskini katika awamu ya tatu mwaka 2012, lengo likiwa ni kupunguza ukali wa maisha kwa kuziwezesha kaya maskini sana ambazo zimeingia kwenye mpango...

watoto wa mitaani

21Jun 2016
Peter Mkwavila
Nipashe
Hayo yalisemwa na mtoto, Binetou Isaya, alipokuwa akizungumza na wazazi na walezi kwenye ibada ya siku ya watoto inayoadhimishwa kila mwaka na kanisa la Tanzania Assemblies of God, iliyofanyika...

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Hamis Mwinyimvua (katikati), akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Mafunzo wa Jeshi la Kujenga Taifa, Kanali Chacha Wanyancha (kulia)

21Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya wiki mbili kwa wakufunzi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa ajili ya kuwafundisha vijana wanaojiunga na jeshi hilo, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk....

Mwenge wa Uhuru

21Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenge wa Uhuru ulikimbizwa mkoani hapa wiki iliyopita na ukiwa katika Halmashauri ya Mji wa Njombe, ulizindua miradi mbalimbali pamoja na kukabidhi vyandarua kwa watoto wanaosoma katika shule...
21Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Baadhi ya walimu wa shule za umma kuanzia za Msingi hadi Sekondari wamekuwa wanavaa mavazi ya 'ajabu' ambayo mbele ya wanafunzi wao hayastahili.Ni kinyume na taratibu za utumishi wa umma. Baadhi...

Rais John Magufuli

21Jun 2016
Masyenene Damian
Nipashe
Akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 2,600 kwa shule za msingi 74 za umma wilayani humo, Mkurugenzi wa manispaa hiyo, John Wanga, alisema wilaya hiyo ina upungufu huo wa madawati na kwamba...
21Jun 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Wakati akiwasilisha makadirio ya wizara yake kwa mwaka 2016/2017 bungeni, Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe, alisema kutakuwa na kodi mpya katika huduma za utalii, jambo ambalo...

Mangula

21Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata hivyo, amesema ana matumaini kwamba kuanzishwa kwa Mahakama ya Mafisadi kunaweza kupunguza tatizo hilo na hali ya maisha ya watu kutofautiana kwa kiwango kidogo kulinganisha na sasa. Mangula...

SALUM MWALIMU

21Jun 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
hatua ambayo kwa vyovyote itawafanya wakibaliane ana kwa ana na Polisi wa kutuliza ghasia, wenye msaada wa magari ya washawasha. Mkutano Mkuu Maalumu huo ndiyo utakaotoa nafasi kwa Mwenyekiti wa...
21Jun 2016
Francis Kajubi
Nipashe
Mbali na azimio hilo, pia wamekubaliana kuwawezesha vifaa vya ujenzi kama saruji na nondo, ili kuimarisha nyumba zao kuepuka uvamizi wa wafanyabiashara wa viungo vya watu wenye ualbino. Sambamba...
21Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
*** Kocha Mkuu Hans van der Pluijm alia na refa kuwapendelea wenyeji Mo Bejaia, yarejea Uturuki kujinoa kuikabili Mazembe...
Katika mechi hiyo ya kwanza ya Kundi A, Yanga ililala bao 1-0 wakati TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikipata ushindi mnono wa magoli 3-1 dhidi ya Medeama ya Ghana na kuongoza...
21Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Simba imeanza mazungumzo na kocha huyo baada ya kocha chaguo la kwanza Sellas Tetteh, raia wa Ghana kuwapa masharti magumu, kabla ya kuzungumzia dau la mshahara analotaka kulipwa kila mwezi....

RAIS MAGUFULI

21Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alipokuwa akijibu hoja za wabunge waliochangia bajeti kuu ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/17 kuanzia Juni 10 hadi 17,...

Pages