NIPASHE

Mratibu Wa miradi ya maendeleo ya jamii kutoka shirika la uhifadhi TNC Alphonce Mallya.

05Oct 2019
Zanura Mollel
Nipashe
Akizungumza na Nipashe Mratibu wa shughuli za Maendeleo ya jamii (TNC) Alphonce Mallya ,alieleza kuwa lengo la kuwapeleka wanafunzi hao ni kujifunza juu ya utunzaji wa mazingira pamoja na faida za...
05Oct 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Hayo yameelezwa jana na Mkurugenzi wa Huduma za Dharura, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Elias Kwesi, wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Kitengo cha Dharura...
05Oct 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Kati ya watoto hao, mmoja anatoka nchini Rwanda na amefanikiwa kupandikizwa katika masikio yote mawili. Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, tawi la Mloganzila, Dk....
05Oct 2019
Elisante John
Nipashe
Aidha, amezagiza Halmashauri nyingine nchini kuiga mfano wa matumizi bora ya fedha za umma kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya wananchi.Akizungumza na watumishi wa halmashauri za...
05Oct 2019
John Juma
Nipashe
Matumizi ya nguvu, ubabe na kutofuata sheria na taratibu maalum limekuwa ndiyo tatizo kubwa kwa wananchi dhidi ya askari. Sio siri askari wamekuwa wakitumia nguvu na ubabe mno katika kuwakamata...
05Oct 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Aidha, ameahidi kuwa utalii huo utaanzishwa wakati wowote kwani hauna madhara.Kigwangalla aliyasema hayo jana, baada ya kuweka rekodi ya kuwa Waziri wa Utalii kufika kilele cha Uhuru cha Mlima...
05Oct 2019
Reubeni Lumbagala
Nipashe
Kila Oktoba 1, duniani huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wazee. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Safari ya kuzeeka kwa usawa”. Kwa Tanzania maadhimisho yalifanyika katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona...
05Oct 2019
Allan lsack
Nipashe
Wakulima hao waliyasema hayo juzi mjini hapa kwenye mkutano mkuu wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), ukiwa na kauli mbiu ya mtetezi wa mkulima ni mkulima mwenyewe. Kwa mujibu wa...

Walimu wa Sekondari ya Rusoli wakiwa vifaa vya maabara walivyopokea kutoka kwa mdau wa maendeleo ya elimu.
PICHA: MTANDAO

05Oct 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Masomo ya sayansi yamekuwa na changamoto nyingi kuanzia vifaa, maabara, vitabu na kubwa zaidi uhaba wa walimu, shida inayozitesa shule nyingi za umma. Kama wanafunzi wa shule za serikali ndiyo...
05Oct 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Mpira wa miguu, yaani kabumbu, kandanda au soka ni mchezo upendwao sana duniani. Hapa nchini, timu zenye wanachama na mashabiki wengi zaidi ni Yanga iliyoanzishwa mwaka 1936 ikifuatiwa na Simba mwaka...
05Oct 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo, alisema jana kuwa Aussems na Miraji wametwaa tuzo hizo baada ya kuwashinda wapinzani wao walioingia nao...
05Oct 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kupitia mawasiliano ya simu na intaneti wengi wamenufaika wakulima na wafanyabiashara kupata na kufikia masoko, wanafunzi kujisomea mitandaoni na karibu kila kundi kwenye jamii lina cha kujivunia...
05Oct 2019
Mhariri
Nipashe
Timu hiyo ya Tanzania Bara itashuka dimbani kuwakabili wapinzani wao Kenya katika fainali hizo za mashindano hayo yanayoandaliwa na Baraza la Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa).Yosso hao wa...
05Oct 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Karume Boys ilitolewa katika hatua ya robo fainali baada ya kufungwa mabao 5-0 na Eritrea, lakini ilikwama kutokana na changamoto ya usafiri.Akizungumza na gazeti hili jana, Katibu Mkuu wa Shirikisho...
05Oct 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Kocha aahidi kuanza rasmi Ligi Kuu kesho dhidi ya Coastal...
Hata hivyo, Kocha Msaidizi wa Yanga, Noel Mwandila, aliliambia gazeti hili kuwa matokeo hayo ni historia na sasa wataingia tofauti kuwakabili Coastal Union kutoka Tanga, katika mchezo mwingine wa...

Wadau wakiandamana kupinga na kuhamasisha jamii kukataa ukeketaji. PICHA: MTANDAO

05Oct 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Wakati mwingine ni vigumu kuamini kwamba ukeketaji unaweza kufanywa mijini, kwa kuwa imezoeleka maeneo yanayoendeleza mila hiyo ni yale ambayo hajayapata uelewa wa kutosha wa kuziwezesha fahamu zao...

Mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Ditram Nchimbi

05Oct 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Nchimbi alifunga "hat-trick" ya kwanza msimu huu wakati timu yake ikitoka sare ya mabao 3-3 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Uhuru.Akizungumza...

Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Deus Seif (kushoto), akimkabidhi Meya wa Jiji la Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe, msaada wa mifuko 300 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa miundombinu ya sekta ya elimu jijini humo, jana. Kulia ni Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Samwel Mkotya. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

05Oct 2019
Paul Mabeja
Nipashe
Akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi msaada huo, Ofisa Elimu Msingi wa Jiji la Dodoma, Joseph Mabeyo, alisema msaada huo umekuja wakati mwafaka kutokana na changamoto nyingi katika maeneo...
05Oct 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Mawakala hao wanakuja nchini kushiriki Tamasha la Swahili litakalofanyika katikati ya mwezi huu.Kwa nyakati tofauti katika mahojiano maalum na Nipashe, Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini (TTB)...
05Oct 2019
Hamisi Nasiri
Nipashe
Fedha hizo zilitolewa juzi na Kaimu Mkurugenzi wa Tawi hilo, Mussa Mzia, kwa niaba ya wafanyakazi wenzake. Mzia alisema wameguswa na kampeni hiyo ya ‘Shule ni Choo’ ambayo imeanzishwa na Mkuu wa...

Pages