NIPASHE

22Feb 2021
Nebart Msokwa
Nipashe
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Amede Ng’wanidako, wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani wa Jiji hilo la kujadili makadirio ya bejeti ya mwaka...
22Feb 2021
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Salala, akizungumza na gazeti hili, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kwamba lilitokea Februari 13, mwaka huu majira ya saa 7:00 mchana katika...
22Feb 2021
Nebart Msokwa
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango nchini (TBS), Hamis Mwanasala, alitoa ushauri huo mwishoni mwa wiki wakati wa mafunzo maalumu kwa wasindikaji, wafanyabiashara wa mafuta na watendaji wa...
22Feb 2021
Augusta Njoji
Nipashe
Mnada huo unatarajiwa kuanzishwa nchini mwaka huu mijini Dar es Salaam ili wakulima waondokane na adha wanayoipata ya kusafirisha chai kwa gharama ya zaidi ya Sh.Milioni sita kwenda Mombasa nchini...
22Feb 2021
Richard Makore
Nipashe
Alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki katika kijiji cha Nyashimba katika Kata ya Nyigogo, wilayani Magu alipokutana na wafugaji na wakulima. Alisema mfugaji  atakayekamatwa amelisha mifugo yake...
22Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Prof. Mkenda alisema wananchi wasiwe na hofu kwa kuwa nzige wote watadhibitiwa kupitia wataalamu wa Wizara ya Kilimo waliopo kwenye maeneo yote yenye dalili za uwapo wao. "Kuanzia kesho (leo),...

Mshambuliaji wa Namungo FC, Stephen Sey, akichambua safu ya ulinzi ya CD de Agosto ya Angola kwenye mechi ya kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyopigwa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam jana na Namungo kushinda 6-2. PICHA: JUMANNE JUMA

22Feb 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Ni mechi ambayo De Agosto ilikuwa mwenyeji kutokana Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuamuru ichezwe hapa Tanzania badala ya Angola, kutokana na sintofahamu iliyotoka nchini humo kwa kikosi cha...

Rais Dk. John Magufuli akizungumza jambo na Padre Dk. Alister Makubi, baada ya kushiriki katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki
Parokia ya Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam jana. PICHA: IKULU

22Feb 2021
Elizaberth Zaya
Nipashe
Vilevile, kiongozi huyo wa nchi amesema serikali haijazuia matumizi ya barakoa katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, bali wachukue tahadhari kwa kutumia zilizotengenezwa nchini...
22Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza baada ya kufunga zoezi la kuchukua namba jijini Dar es Salaam, mwakilishi wa Kampuni ya Kilimanjaro Marathon Company, Rajon Datoo, alisema zoezi hilo lilikuwa la mafanikio makubwa kwani...
22Feb 2021
Saada Akida
Nipashe
Wakati Kaze akisema hayo, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Thiery Hitimana, amesema udhaifu katika nafasi ya beki wa kati ni sababu kubwa ya kushindwa kupata matokeo chanya katika mchezo dhidi ya Yanga...
22Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Mo Dewji atinga mazoezini kwa Mkapa na viongozi wote, ulinzi waimarishwa, Gomes asema...
Simba itaikaribisha Al Ahly kesho katika uwanja huo kwenye mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na rekodi nzuri ya kutopoteza katika michuano ya kimataifa ikiwa nyumbani kwa...
21Feb 2021
Dotto Lameck
Nipashe
Mfune amesema hayo wakati wa semina ya wafanyabiashara kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ambayo imelenga kuwaelimisha wafanyabiashara...

Stela Nyaki.

21Feb 2021
Dotto Lameck
Nipashe
Akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo kwa wahusika na mbele ya Mbunge wa viti maalumu, Ritta Kabati, Mratibu wa kampuni hiyo, Stela Nyaki, amesema kampuni hiyo inaamini kuwa inao...
21Feb 2021
Joseph Kulangwa
Nipashe
Vipo vikosi maalumu ambavyo hupenyeza taarifa kwa kiongozi, lakini pia mbali na vyombo vya habari, viongozi hutumia wasaidizi wao wa chini kupata taarifa hizo.Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere....
20Feb 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Namungo ambayo msimu uliomalizika ilicheza fainali ya Kombe la FA dhidi ya Simba iliyolitwaa taji hilo, imetinga hatua ya mchujo kuwania kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu...
20Feb 2021
Saada Akida
Nipashe
Lakini wakati Kaze akisema hayo, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amewapongeza wachezaji wake kwa kupambana na kupata pointi moja na mabao 3 mbele ya Yanga ambayo inaongoza msimamo wa ligi...
20Feb 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
***Ni baada ya Morrison kuwakera Biashara United kwa kuipa pointi tatu huku...
Hii ni mara ya tatu kwa mabingwa hao kupata ushindi tangu timu hiyo ya Biashara United ipande na kuanza kucheza Ligi Kuu msimu wa 2018/19, ambapo ilifungwa mabao 2-0 Aprili 27, 2019, yakifungwa na...
20Feb 2021
Mary Mosha
Nipashe
Dk. Machimu alisema hayo jana mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya, alipofanya ziara katika benki hiyo mjini hapa na kuzungumza na baadhi ya wafanyakazi huku akisisitiza kuwa...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki (kushoto), akifungua mkutano wa wadau wa kuku wanyama, jijini Dar es Salaam juzi. Kulia ni Kaimu Msajili wa Bodi ya Nyama, Imani Sichalwe. PICHA: MIRAJI MSALA

20Feb 2021
Romana Mallya
Nipashe
Aliyasema hayo jana alipokutana na wafugaji wa kuku wa nyama, wauzaji wa vifaranga na vyakula ili kusikiliza kero ambazo mojawapo walitaja ni kukosa faida kutokana na mauzo ya kuku kwa sababu ya...
20Feb 2021
Halima Ikunji
Nipashe
Walipandishwa kizimbani ni aliyekuwa meneja wa TANESCO  Mkoa wa Tabora,  Mohamed Abdallah,  na mhandisi wake,  Melkiad  Msigwa. Miongoni mwa mashtaka hayo ni kuisababishia serikali hasara ya Sh....

Pages