Burudani »

02Oct 2020
Happy Severine
Nipashe

kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Ekwabi Mujungu (kulia) alizungumza na wasanii( hawapo ) pichani wakati wa ufunguzi wa kongamano la kuelimisha vikundi vya sanaa. Kushoto ni kaimu msaidizi ofisi ya Rais sekretarieti ya maadili ya viongozi wa Umma kanda ya magharibi Gerald Mwaitebele.

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Ekwabi Mujungu amesema  kazi nyingi za wasanii  ...

05Aug 2020
Mary Geofrey
Nipashe

TID.

Msanii Khalid Mohamed maarufu TID, ameangua kilio na kusema amehuzunika sana kwa baadhi ya vyama...

23Jul 2020
Mary Geofrey
Nipashe

MWANAMUZIKI maarufu nchini, Ally Choki anatarajia kusindikiza uzinduzi wa albamu mpya ya bendi...

02Jul 2020
Mary Geofrey
Nipashe

Mwandaaji wa filamu nchini, Aziz Mohamed akiwa na baadhi ya wasanii na wadau wa sanaa wakati wa uzinduzi wa kipindi kipya cha mahusiano cha ‘Date my Family’ ambacho kitaanza kuonyeshwa kuanzia leo kwenye king'amuzi cha chaneli ya Miasha Magic Bongo ya DSTV. PICHA: MPIGAPICHA WETU

KATIKA kufundisha kuelekea katika maisha mapya, kipindi cha mahusiano kijulikanacho kwa jina la...

17Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe

Deogtratius Killer (mwenye shati nyeupe), akicheza na wanenguaji wake kwenye onyesho la bendi hiyo mwishoni mwa wiki mjini Morogoro. PICHA: SABATO KASIKA

BENDI ya muziki wa dansi ya Waluguru Original yenye maskani yake mjini Morogoro, imekamilisha...

20Mar 2020
Dotto Lameck
Nipashe

Msanii wa bongofleva nchini Rashid Abdallah maarufu kama Chid benz akimweleza jambo Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo mheshimiwa Juliana Shonza.

NAIBU Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, ameahidi kumpa...

14Feb 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Wasanii wa kundi la Lulu Abdalla.

WASANII nyota kutoka Afrika usiku wa Februari 13 wameweza kukonga nyo kwa mashabiki wa muziki wa...

28Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

JUKWAA namba moja kwa huduma ya kupakua muziki barani Afrika, Boomplay imemtaja msanii Diamond...

25Oct 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Baada ya maneno ya muda mrefu katika mitandao ya kijamii, hatimaye mwanamama Zarinah Hassan,...

14Oct 2019
The Guardian Reporter
The Guardian

Prime Minister Kassim Majaliwa (L) keenly listens to Airtel Tanzania Events Manager, Dangio Kaniki explaining the company products and services when the premier visited its pavilion at the ongoing weeklong youth celebrations being held in Lindi region. Photo courtesy of Airtel.

A digital learning platform created by Airtel Tanzania Limited has won praises from Prime...

29Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

TAMASHA la Muziki, Msimu wa Tigo Fiesta 2019 limezinduliwa jana kwa kishindo jijini Mwanza huku...

28Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MWANAMITINDO na mmiliki wa Odemba Foundation, Miriam Odemba.

MWANAMITINDO na mmiliki wa Odemba Foundation, Miriam Odemba amemwaga machozi mbele ya Mkuu wa...

Pages