Habari »

15Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imesema imeridhishwa na utekelezaji wa sera ya taifa ya fedha...

15Sep 2021
Augusta Njoji
Nipashe

NEEMA imetua kwa wakulima wa mahindi baada ya serikali kuanza kununua tani 90,000 kupitia Wakala...

15Sep 2021
Paul Mabeja
Nipashe

Rais Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, katika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma jana. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

NI zaidi ya sensa! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mambo yatayoangaziwa wakati wa Sensa ya...

14Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akiongea na wananchi wa Kijiji cha Nanjilinji kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji hicho Kilichopo Wilayani Kilwa, Mkoani Lindi Septemba 13, 2021.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewataka viongozi wa Serikali kuanzia ngazi za...

14Sep 2021
Neema Hussein
Nipashe

​​​​​​​MTOTO mwenye umri wa miaka minne ambaye jina lake limehifadhiwa amebakwa na kijana...

14Sep 2021
Lilian Lugakingira
Nipashe

​​​​​​​NAIBU waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anayeshughulikia...

14Sep 2021
Paul Mabeja
Nipashe

WIZARA ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, imewaonya watu ambao wamekuwa...

14Sep 2021
Augusta Njoji
Nipashe

SERIKALI imesema watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani waliopo nchini ni 35,919, hali mbayo...

14Sep 2021
Marco Maduhu
Nipashe

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga George Kyando:PICHA NA MTANDAO.

MTU mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi yake, amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa...

14Sep 2021
Lulu George
Nipashe

BAADHI ya wanawake katika Jiji la Tanga wanawatumia watoto wao kama kitega kichumi pindi...

14Sep 2021
Zanura Mollel
Nipashe

Picha na mtandao.

WANAWAKE 1,897 wanaoishi na kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji mali katika Wilaya ya...

14Sep 2021
Julieth Mkireri
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhandisi Martin Ntemo.

​​​​​​​WATU watatu wamefariki dunia na wengine wawili wanaendelea kutafutwa baada ya mashua...

Pages