Habari »

31Jul 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili

WAKATI Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John Magufuli ikiendelea kutekeleza ahadi mbalimbali...

31Jul 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka India kwa matibabu. PICHA: OFISI YA BUNGE

VIKAO vya Kamati za Bunge, ambavyo vilikuwa vikifanyika katika kumbi mbalimbali jijini Dar es...

31Jul 2016
Nathan Mtega
Nipashe Jumapili

madhari ya mkoani Ruvuma.

HALMASHAURI ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma imepanga kuhakikisha inakusanya kiasi cha Shilingi...

31Jul 2016
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili

Harakati za ujenzi zilivyokuwa zikiendelea katika Shule ya Msingi Lupemba, juzi (Picha: Neema Emmanuel)

KAMA kuna mtu aliwahi kuitembelea Shule ya Msingi Lupemba iliyopo katika Kijiji cha Bubinza,...

31Jul 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia jambazi sugu aliyekutwa na meno ya...

31Jul 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili

WAKATI mchakato wa serikali kuhamia Dodoma ukiendelea kwa kasi, imefahamika kuwa kuna mambo 17...

31Jul 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili

JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamsaka Mwenyekiti wa Chama cha...

31Jul 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili

WADAIWA sugu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wameanza kujitokeza kwa...

30Jul 2016
Happy Severine
Nipashe

NI vibweka! Hivyo ndivyo ambavyo mwingine anaweza kusema pindi akisikia kile kinachoendelea...

30Jul 2016
Christina Mwakangale
Nipashe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinakinaendelea na maandalizi ya uzinduzi...

30Jul 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe

WAKATI kazi ya kukagua uhalisia wa vyeti vya elimu kwa watumishi wa umma ikiendelea kushika kasi...

30Jul 2016
Kathleen D
Nipashe

WAKATI maelfu ya watu duniani kote wakitambua kuwa njia maarufu ya kukabiliana na tatizo la...

Pages