Habari »

12Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchni, Ernest Mangu.

JESHI la Polisi nchini limeshindwa kuwasilisha mkataba walioagizwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu...

12Apr 2016
Mary Mosha
Nipashe

WADAU wa maendeleo mkoani Kilimanjaro, wameiomba serikali kupitia upya sheria na adhabu za...

12Apr 2016
Mary Mosha
Nipashe

Envirocare.

WANAFUNZI 201 wa shule za msingi tatu wanaoishi katika mazingira magumu wilayani Siha mkoani...

12Apr 2016
Lulu George
Nipashe

WAKATI wanafunzi 45 katika jiji la Tanga, wamebainika kuwa na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (...

12Apr 2016
Joctan Ngelly
Nipashe

sheikh, Hassan Bamba, akiwa chini ya ulinzi wa polisi jana.

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Sheikh wa Msikiti wa Goma, Hassan Bamba (48), kifungo...

12Apr 2016
Emanuel Legwa
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyerembe Mnasa.

MAOFISA wawili wa Wakala wa Huduma za Misitu nchini (TFS) na wafanyabiashara watano,...

12Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Christopher Fuime.

DEREVA wa teksi, James Mpepo, ameuawa kikatili kwa kuteketezwa kwa moto na wananchi wakimtuhumu...

12Apr 2016
Neema Emmanuel
Nipashe

MKAZI wa kijiji cha Kanyama Kata ya Bujora Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Erick Mkundi (23),...

12Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe

Anne Kilango Malecela.

RAIS John Magufuli ameanza kuwatia 'tumbo joto' wakuu wa mikoa, wilaya, makatibu tawala na...

12Apr 2016
Theonest Bingora
Nipashe

Mkuu wa JICA Tanzania, Toshio Nagase.

SHIRIKA la Maendeleo la Kimataifa la Japan (Jica), limetoa mkopo wa Sh. bilioni 116 kwa Serikali...

12Apr 2016
Fredy Azzah
Nipashe

BAJETI ya kwanza ya Serikali ya Rais John Magufuli, itakuwa neema au mzigo kwa Watanzania,...

11Apr 2016
Lulu George
Nipashe

Waziri wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga.

IDARA ya Uhamiaji mkoani Tanga imewataka waajiri wanaojiri wageni bila vibali kujisalimisha...

Pages