Habari »

02Aug 2021
Yasmine Protace
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya mbozi Cosmac Nshenye ,akinywa maziwa katika maadhimishoyake sho ya wiki ya unyonyeshaji

​​​​​​​JAMII imeaswa kuwajibika katika ngazi zote ili kutetea, kulinda na kuendeleza utaratibu...

02Aug 2021
Cynthia Mwilolezi
Nipashe

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Paschal Shelutete.

​​​​​​​WATALII 550 kutoka Israel wanatarajiwa kuwasili nchini kwa makundi tofauti kwa ajili ya...

02Aug 2021
Beatrice Shayo
Nipashe

Mbunge wa Konde (CCM), Sheha Mpemba Faki, ameandika barua ya kujiuzulu leo kutokana na...

02Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James (wa pili kulia) akikabidhi cheti kwa mwanafunzi wa darasa la saba shule ya St Anne Marie Aacademy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam, Shigongo Ndaki, aliyefanya vizuri somo la stadi za kazi kwenye mahafali ya 18 yaliyofanyika mwisho mwa wiki shuleni hapo. Kulia ni Mkurugenzi wa shule hiyo, Dk. Jasson Rweikiza na kushoto ni Mkuu wa shule Gladius Ndyetabura

SERIKALI imepongeza uwekezaji mkubwa katika elimu uliofanywa na Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM)...

02Aug 2021
Frank Monyo
Nipashe

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Khadija Mwenda (mwenye kiremba chekundu) akishiriki zoezi la kugawa chakula kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Buigiri Wasioona, ambacho kiliandaliwa sambamba na msaada wa vifaa mbali mbali vilivyokabidhiwa katika shule hiyo na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Ummy Nderianaga. Viongozi hao walishiriki chakula hicho pamoja na wanafunzi, walimu na watumishi wengine wa shule hiyo.

SERIKALI imesisitiza itaendelea kufanya jitahada mbalimbali katika kuwajumuisha watu wenye...

01Aug 2021
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili

Waziri wa Madini Dotto Biteko, akizungumza wakati wa kufunga Maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini mkoani Shinyanga.

​​​​​​​WAZIRI wa Madini Dotto Biteko, ametoa siku 60 za kutaifisha leseni za uchimbaji wa madini...

01Aug 2021
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili

WANANCHI wa Kata ya Nyamagana mkoani Mwanza, wamepewa elimu ya uelewa kuhusiana na mradi wa...

01Aug 2021
Mohab Dominick
Nipashe Jumapili

​​​​​​​WATU saba, wakiwamo askari polisi wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha...

01Aug 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuulinda Muungano kwa kuwa ndio tunu kubwa...

01Aug 2021
Halima Ikunji
Nipashe Jumapili

Mkurugenzi wa Chuo Cha Tabora Polytechnic College Shabani Mrutu akitoa taarifa ya chuo picha ma Halima Ikunji.

MKURUGENZI wa Chuo Cha Tabora Polytechnic College Shabani Mrutu, ameiomba Tarura kupitia...

01Aug 2021
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili

​​​​​​​MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi, ameweka...

31Jul 2021
Lilian Lugakingira
Nipashe

Watu watano wamepoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo...

Pages