Habari »

10Aug 2020
Mary Geofrey
Nipashe

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH)- Mloganzila imepokea msaada wa vifaa tiba wenye thamani ya Sh...

10Aug 2020
Augusta Njoji
Nipashe

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku saba kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...

10Aug 2020
Salome Kitomari
Nipashe

WIKI hii ni ya pilikapilika kwa vyama vya siasa nchini kukiwa na mchakato wa kupata majina ya...

10Aug 2020
Elizaberth Zaya
Nipashe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana kilitoa orodha ya awamu ya kwanza ya majina ya...

09Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi, Briedia Jenerali, Wilbert Ibuge akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani leo jijini Dar es Salaam.

Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC),...

09Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

wanachama wa chadema wakiwa katika moja ya mikutano yao. picha ya mtandao.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemteua Asia Msangi kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo...

09Aug 2020
Happy Severine
Nipashe

Dk Athuman Mahinda mhadhili chuo kikuu cha Dar es salaam akionyesha teknolojia waliyoibuni ya kufukuza wanyama waharibifu shambani.

Chuo Kikuu Cha Dar es salaam (UDSM), kimekuja na teknolojia mpya ambazo zinalenga kuwanufaisha...

09Aug 2020
Christina Haule
Nipashe

Baadhi ya wahudumu Wa Afya ngazi ya jamii wakionesha namna vitimwendo vitakavyotumika kwa wenye ulemavu baada ya mafunzo ya mradi Wa Ulaya yanayofadhiliwa na World Vision.

Serikali imetoa mikopo isiyokuwa na riba yenye thamani ya shilingi bil 3.8 hadi kufikia Julai...

09Aug 2020
Mary Geofrey
Nipashe

RAIS JOHN MAGUFULI.

WATANZANIA wametakiwa kuangalia mambo makubwa ya kimaendeleo yaliyofanywa chini ya usimamizi wa...

09Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof.Florens Luoga, akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Sekta isiyo rasmi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), John Mwalisu (kulia) kuhusu shughuli Shirika hilo, alipotembelea banda la NSSF katika maonesho ya Wakuliama- Nanenane, yanayoendelea viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu. Kulia ni Kaimu Meneja wa NSSF mkoani Simiyu, Nuhu Mmbaga (Picha: Mpiga PIcha Wetu, SIMIYU)

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limesema kuwa limefanya maboresho ya uandikishaji...

09Aug 2020
Augusta Njoji
Nipashe

MAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan.

MAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mchakato wake wa...

08Aug 2020
Mohamed Saif
Nipashe

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga akikagua eneo la chanzo cha maji cha mradi wa Busokelo katika Halmashauri ya Busokelo, Mkoani Mbeya.

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ameridhishwa na ushirikiano wa ujenzi wa...

Pages