Habari »

27May 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge (kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Agnes Kayola wakati akifungua mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa ngazi ya Makatibu Wakuu uliofanyika kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam.

Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umefanyika leo...

27May 2020
Dotto Lameck
Nipashe

WAKAZI wa Kata ya Bombambili mkoani Geita, wamejitolea kufyeka pori kwa ajili ya kujenga...

27May 2020
Renatha Msungu
Nipashe

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP), Gilles Muroto, akiwaonyesha waandishi wa habari jana sehemu ya magari 17, yanayodaiwa kuwa ya wizi yaliyokamatwa na jeshi hilo kwenye msako wa kutafuta wizi wa magari. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

JESHI la Polisi mkoani Dodoma, limekamata magari 17 yanayodaiwa kuwa ya wizi yakiwa...

27May 2020
Enock Charles
Nipashe

Jengo la utawala la Taasisi ya Ustawi wa Jamii.

TAASISI ya Ustawi wa Jamii ni Taasisi ya Serikali chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,...

27May 2020
Gurian Adolf
Nipashe

WAKAZI wa kijiji cha Kate, kata ya Kate wilayani Nkasi, mkoani Rukwa, wameingia katika taharuki...

27May 2020
Romana Mallya
Nipashe

VYUO mbalimbali vimetangaza masharti ya wanafunzi kurudi vyuoni ikiwa ni pamoja na kutoa ratiba...

27May 2020
Salome Kitomari
Nipashe

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (wa pili kulia), akipokea hundi kifani ya dola milioni 100, kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa kampuni ya Barrick, Hilaire Diarra (wa pili kushoto), jijini Dodoma jana, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300, ambazo kampuni hiyo ilikubali kuilipa Serikali kumaliza mzozo kati yao. Wengine ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi (kulia), Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (wa tatu kulia) na Meneja wa Mgodi wa North Mara, Luiz Correia. PICHA: WFM

SERIKALI imepokea dola za Marekani milioni 100 (sawa na Sh. bilioni 250), zilizotolewa na...

27May 2020
Rahma Suleiman
Nipashe

WANANCHI wa kisiwa cha Pemba wamepongezwa kwa kufanikiwa kupambana kikamilifu na ugonjwa wa...

27May 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe

WABUNGE wameitaka serikali ichukue hatua dhidi ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya...

27May 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SERIKALI imetaja mkakati wake wa kudhibiti vitendo viovu magerezani ikiwa ni pamoja na kuongeza...

27May 2020
Jaliwason Jasson
Nipashe

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Manyara, inatarajia kuwaburuza...

27May 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imemwita Dk. Imni...

Pages