Habari »

23Sep 2021
Halima Ikunji
Nipashe

Mbunge wa Jimbo la Igunga nichoraus ngassa akizingumza na wananchi wake.

DARAJA la Mto Mwamashinga lililopo wilayani Igunga mkoani Tabora, ambalo lilibomoka miaka miwili...

23Sep 2021
Zanura Mollel
Nipashe

WATOTO wilayani Longido mkoani Arusha wamelalamikia vitendo viovu vinavyofanywa na wazazi wao...

23Sep 2021
Tumaini Mafie
Nipashe

Jeneza lenye mkungu wa ndizi ndani, likiwa limetelekezwa shambani katika kijiji cha Kiwawa, Kata ya Imbaseny, wilayani Arumeru, mkoani Arusha jana, kitendo kilichozua taharuki kwa wakazi wa eneo hilo. PICHA: TUMAINI MAFIE

TAHARUKI imewakumba wakazi wa Kijiji cha Kiwawa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, baada ya jeneza...

23Sep 2021
Sanula Athanas
Nipashe

James Rugemalira, akiwa chini ya ulinzi katika mahakama ya kisutu wakati wa kesi yake ikiendelea. picha na mtandao.

ILIKUWA saa sita mchana, Alhamisi ya wiki iliyopita, vilio vya furaha na nderemo ghafla...

23Sep 2021
Hellen Mwango
Nipashe

Tundu Lissu.

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam  imemwachia huru Mbunge wa zamani wa...

23Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass, walipokutana katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), jijini New York, nchini Marekani juzi. PICHA: IKULU

RAIS Samia Suluhu Hassan ameshiriki ufunguzi wa mjadala mkuu katika Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu...

23Sep 2021
Munir Shemweta
Nipashe

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula, ameitaka Halmashauri...

23Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameipongeza Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Geita (GGML) kwa kutoa...

23Sep 2021
Mary Geofrey
Nipashe

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesema inatekeleza maagizo yake...

23Sep 2021
Allan lsack
Nipashe

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amewaonya wakuu wa mashirika ya umma na taasisi...

22Sep 2021
Mary Mosha
Nipashe

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Amosy Zephania.

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi, imesema bado ulaji wa nyama nchini ni mdogo, ukilinganisha na kiwango...

22Sep 2021
Christina Haule
Nipashe

Pichani Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu akijiandaa kukata utepe kuzindua vibanda vya machinga vilivyopo kwenye soko la chifu kingalu Manispaa ya Morogoro

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu...

Pages