Habari »

22Sep 2021
Christina Mwakangale
Nipashe

Dk. Avelina Mgasa akielezea namna damu salama inavyotunzwa baada ya kupimwa na kuhahakiwa. 

MPANGO wa Taifa wa Damu Salama Kanda ya Mashariki, inayohusisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na...

22Sep 2021
Godfrey Mushi
Nipashe

Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Chekereni, Kata ya Mabogini, Moshi Vijijini, Kamili Mashingo akieleza kuhusu uvamizi wa mifugo iliyoharibu mazao ya chakula.Kushoto ni Diwani wa Mabogini, Bibiana Massawe akiwa na wananchi wake leo.

ZAIDI ya ng’ombe 4,000 wamevamia mashamba ya wakulima wa vijiji vya Chekereni, Muungano na...

22Sep 2021
Julieth Mkireri
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji John Kayombo wakimkabidhi mwanafunzi Mwamvita cheti baada ya kufanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne 2020:PICHA NA JULIETH MKIRERI

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji John Kayombo, amewataka wazazi kuacha...

22Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WATU saba wa familia moja wamepoteza maisha kwa kipindi cha siku 10, wakiwamo watano waliofariki...

22Sep 2021
Marco Maduhu
Nipashe

HOSPITALI ya Rufaa mkoani Shinyanga, imepewa msaada wa mitungi 10 ya hewa ya oksijeni kwa ajili...

22Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mafundi wakipaua jengo la zahanati ya Kijiji cha Mkirira, PICHA: MPIGAPICHA WETU

SERIKALI imetoa Sh. milioni 50 ili kuunga mkono juhudi za wakazi wa Kijiji cah Mkirira Kata ya...

22Sep 2021
Steven William
Nipashe

MKUU wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Halima Bulembo, ametoa onyo kwa wanaume mafataki...

22Sep 2021
Daniel Sabuni
Nipashe

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia wenye ulemavu, Ummy Nderinanga,...

22Sep 2021
Dege Masoli
Nipashe

MKAZI wa Kijiji cha Kilindi Asilia kilichoko mkoani Tanga, Anold Mtei, amefikishwa katika...

22Sep 2021
Daniel Sabuni
Nipashe

NABII Jackson Ibrahim (30), ambaye ni kiongozi mkuu wa Kanisa la The Power of Perfection...

22Sep 2021
Mary Mosha
Nipashe

NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mgeni Hassan Juma, amewataka maskauti wanawake...

22Sep 2021
Christina Haule
Nipashe

SERIKALI imejipanga kuwa na idara mahususi ya kushughulikia viwanda, biashara na uwekezaji...

Pages