Habari »

07Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Omary Hassani.

IDARA ya uhamiaji Mkoa wa Pwani imekamata wahamiaji 43 wasiokuwa na vibali wenye asili ya...

07Jun 2021
Marco Maduhu
Nipashe

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt Philemon Sengati, akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo.

SERIKALI mkoani Shinyanga, imepanga mikakati ya kuhakikisha wananchi wa Mkoa huo wananufaika na...

07Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amekutana na...

07Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefufua mashamba 49 yenye hekari...

07Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Watu 34 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa leo, baada ya treni za mwendo kasi...

07Jun 2021
Jenifer Gilla
Nipashe

WAFANYAKAZI WA KINAPA WAKIZIMA MOTO KWENYE ENEO LA MLIMA KILIMANJARO.

​​​​​​​KILOMETA 45 kutoka Moshi mjini, sawa na mwendo wa takribani nusu saa kwa usafiri wa gari...

07Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Jabiri Bakari, pamoja na Wakuu wa Idara na vitengo vya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA alipotembelea Makao Makuu ya Taasisi hiyo.

SERIKALI imehimiza uboreshaji wa mifumo mbalimbali ya usimamizi wa huduma za mawasiliano ili...

07Jun 2021
Shaban Njia
Nipashe

MADEREVA 27 wamefungiwa leseni zao kwa muda wa miezi sita kutokana na makosa mbalimbali ya...

07Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

T.B Joshua enzi ya uhai wake

MAMIA wa waombolezaji wamemiminika mtandaoni kumlilia Mhubiri maarufu wa kimataifa wa nchini...

07Jun 2021
Maulid Mmbaga
Nipashe

Rais Samia Suluhu Hassan:PICHA NA MTANDAO

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema kimeona matumaini mapya ya Rais Samia Suluhu Hassan, huku...

06Jun 2021
Abdallah Khamis
Nipashe Jumapili

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi, Profesa Riziki Shemdoe, amesema Wizara yake inafikiria kuja...

06Jun 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

​​​​​​​Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mara, Emmanuel Kimboye.

​​​​​​​MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mara, Emmanuel Kimboye, ameutaka umoja wa...

Pages