Michezo »

16May 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

Mkurugenzi Mtedaji wa kampuni ya bia ya Serengeti Mark Ocitti (kushoto) akimkabidhi kikombe mshindi wa Daraja C katika mashindano ya Johnnie Walker TM Cross County Challenge 2021 Danstan Kolimba. Wa pili kushoto ni mwanzilishi wa mashindano hayo Terence Mwakaliku na kulia ni James Mwambona kutoa Simba Courier ambao ni wadhamini mwenza wa masindano.

Mashindano ya mchezo wa gofu maarufu kama TM Cross Country Golf Challenge yamemalizika katika...

14May 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe

Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi.

WAKATI Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi akisema kikosi chake kimeimarika zaidi kuelekea...

14May 2021
Adam Fungamwango
Nipashe

​​​​​​​MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro.

​​​​​​​MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, ameitakia kila la heri Simba katika mechi yao ya...

14May 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes.

​​​​​​​KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amesema kikosi chake kina 'nguvu ya kutosha'...

13May 2021
Saada Akida
Nipashe

​​​​​​​KIKOSI cha Yanga kimeamua kuweka kambi ya muda mkoani Mtwara kwa ajili ya kuendelea na...

13May 2021
Saada Akida
Nipashe

Benjamin Asukile.

​​​​​​​HATIMA ya mchezaji wa Tanzania Prisons, Benjamin Asukile kuitumikia Timu ya Taifa ya...

13May 2021
Saada Akida
Nipashe

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Francis Baraza.

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Francis Baraza, amesema kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake...

13May 2021
Adam Fungamwango
Nipashe

Magolikipa wa Simba kutoka kushoto ni Ally Salim, Aishi Manula na Beno Kakolanya wakifanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya kwanza ya hatua ya robo fainali dhidi ya wenyeji Kaizer Chiefs itakayochezwa keshokutwa Jumamosi kwenye Uwanja wa FNB jijini Johannesburg, Afrika Kusini. PICHA: SIMBA

​​​​​​​WAKATI kikosi cha wawakilishi wa Tanzania kikiendelea vyema na mazoezi huko jijini...

12May 2021
Na Waandishi Wetu
Nipashe

MABINGWA watetezi wa mashindano ya Kombe la FA, Simba watawakaribisha Dodoma Jiji FC katika...

12May 2021
Adam Fungamwango
Nipashe

Wachezaji wa Simba, Aishi Manula (kushoto), na Luis Miquissone baada ya kutua Johannesburg nchini Afrika Kusini jana kwa ajili ya mechi ya kwanza ya hatua ya robo fainali ya mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs itakayochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa FNB jijini humo. PICHA: SIMBA

​​​​​​​WAWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba...

12May 2021
Saada Akida
Nipashe

Thabiti Kandoro.

​​​​​​​KIKOSI cha Yanga chenye wachezaji 24 kinatarajia kuondoka jijini Dar es Salaam leo...

12May 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

​​​​​​​MABONDIA wanawake kutoka Bulgaria na Zimbabwe watapamba ulingoni kabla ya pambano la...

Pages