NDANI YA NIPASHE LEO

Rais wa CWT, Leah Ulaya:PICHA NA MTANDAO

15Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa nne wa wanahisa wa benki hiyo uliofanyika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi mkoani Tabora juzi, Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Richard Makungwa, alisema...
15Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, alisema hayo jana alipotembelea kiwanda cha kuzalisha saruji cha Camel, kilichoko Mbagala, jijini Dar es Salaam. Bashungwa yuko kwenye ziara ya...
15Aug 2020
Mary Geofrey
Nipashe
Watoa huduma hao walikumbwa na rungu hilo ni Carry Mastory Media Ltd, Triple A FM, CG FM; Wasafi Media Online TV; Clouds FM Radio; Radio One; Radio Free Africa; Kiss FM Radio; na Abood FM Radio....
15Aug 2020
Saada Akida
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Edna alisema ameona upungufu ya kikosi chake msimu huu na sasa anahitaji kukiboresha kwa kukifanyia kazi katika dirisha hili kubwa la usajili....
15Aug 2020
Faustine Feliciane
Nipashe
Awali Yanga walipanga kuzindua wiki hiyo Agosti 15 jijini Dar es Salaam, lakini sasa wameamua kusogeza mbele kwa wiki moja kutokana na mambo mbalimbali kuingiliana.Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo,...
15Aug 2020
Julieth Mkireri
Nipashe
Wakizungumza na waandishi wa habari juzi kijijini hapo, walisema sehemu ambayo josho lipo kwa sasa ambalo lilijengwa zaidi ya miaka 40 iliyopita wameambiwa ni eneo la wakulima, hivyo hawawezi...
15Aug 2020
Grace Mwakalinga
Nipashe
Majira ya saa 6:00 mchana, wafuasi wa CHADEMA pamoja na Mbilinyi, maarufu kama Sugu, walifika katika ofisi ya chama zilizoko Kata ya Sinde kwa lengo la kuanza pamoja safari ya kumsindikia katika...

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge:PICHA NA MTANDAO

15Aug 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Hatua hiyo imetokana na wafanyabiashara hao kutoa malalamiko yao wakidai kuwa kuna watu wanapewa maeneo mara mbili au tatu.Aidha, walisema biashara zao ni za duka lakini wamepewa vizimba jambo ambalo...
15Aug 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Agosti Mosi, 2020, niliandika kwenye gazeti hili kuishauri Yanga iachane na mchezaji Bernard Morrison iliyemsajili kutoka Ghana nikimlinganisha na kirusi, yaani kiini kinachosababisha ugonjwa....
15Aug 2020
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, ofisi hizo zilizoko jijini Arusha, zilichomwa moto usiku wa kuamkia jana na kusababisha uharibifu wa samani zilizokuwamo na miundombinu ya jengo la ofisi hizo. Naibu...
15Aug 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Kiongozi huyo wa nchi alitoa rai hiyo alipohutubia mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Kanisa la Asemblies of God (TAG) uliofanyika jijini hapa jana. Alisema siku ya uchaguzi ni siku ya mapumziko na...
15Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ilanfya amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kutokana na kuwa katika kiwango bora msimu uliomalizika akiwa mhimili kwenye safu ya ushambuliaji ya KMC....
15Aug 2020
Mhariri
Nipashe
ujumla. Katika kesi hiyo, mlalamikaji Morrison alikuwa alidai hana mkataba wa kuichezea Yanga baada ya ule wa awali wa miezi sita kumalizika na kwamba mkataba mpya wa miaka miwili unaoelezwa...

Mwenyekiti wa Yanga, Dk. Mshindo Msolla:PICHA NA MTANDAO

15Aug 2020
Saada Akida
Nipashe
***Yasema kwa haya haiwezekani, yamwaga 'upupu', TFF yawapa hukumu sasa mguu na njia CAS...
Morrison ambaye amesaini kuitumikia Simba msimu ujao kabla hata ya hukumu ya kesi hiyo, alikuwa akiilalamikia klabu yake hiyo ya zamani kuwa imeghushi saini yake katika mkataba wa miaka miwili...
15Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muunganiko huo umefanyika baada ya kuridhiwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Tume ya Ushindani (FCC) na kuundwa kwa benki moja yenye thamani ya billion 40.5 ya mali. Muungano huo ulizinduliwa...
15Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Mwanamke anayehesabu kuliko kompyuta, *Atengenezewa filamu kama shujaa wa dunia
Shakuntala ambaye sasa ni marehemu alikuwa na uwezo wa kufanya hesabu sekunde kadhaa hali iliowafanya watu kumuita jina la 'Kompyuta'. Kipaji chake cha ajabu kilimfanya kushinda tuzo ya Guiness...

Rais Dk. John Pombe Magufuli akionyesha tuzo ya heshima, baada ya lukabidhiwa na Askofu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali (kushoto), alipohudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo, jijini Dodoma jana. PICHA: IKULU

15Aug 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Katika Mkutano wa Baraza Kuu la Kanisa hilo uliohudhuriwa na Rais John Magufuli jijini Dodoma jana, Askofu Mkuu wa TAG, Dk. Barnabas Mtokambali, alisema wanaamini uchaguzi huo utaendeshwa kwa...
15Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dr es Salaam baada ya mazungumzo hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine, mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu,  Moses Machali, alisema ghala...

Wanawake wakiendelea na biasahara zao katika moja ya masoko nchini. PICHA: MTANDAO

15Aug 2020
Jenifer Julius
Nipashe
Baadhi ya hatua zinazopendekezwa ni kunawa mikono kila mara, kujisafisha kwa kutumia vitakasa mikono, kuvaa barakoa na kujiepusha na mikusanyiko isiyo ya lazima. Valentina Kasian (45), mkazi wa...
15Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kiwanda hicho chenye uwezo wa kuchinja mbuzi na kondoo 6, 000 na ng'ombe 1,000 kwa siku, kimeanza uzalishaji kinasafirisha nyama ya mbuzi, ng’ombe na kondoo Kuwait na Oman. Sambamba na hilo...

Pages