NDANI YA NIPASHE LEO

Mbunge viti Maalum wa Jimbo la Arumeru Magharibi, Amina Mollel

18Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rai hiyo, ilitolewa na Mbunge viti Maalum wa Jimbo la Arumeru Magharibi, Amina Mollel, wakati wa harambee ya umaliziaji wa jengo la Ibada katika Kanisa Katoliki  Kigango cha Lengijave wilayani...
18Sep 2019
Marco Maduhu
Nipashe
Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Shinyanga, Husseni Mussa, alisema hukumu hiyo ilitolewa Septemba 12, mwaka huu na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya...

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa.

18Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema watumishi wa umma wanawajibu wa kufanya kazi kwa bidii, maarifa na ubunifu. “Nawasihi nyote muache kufanya kazi kwa mazoea, mbadilike na kuenenda sawa na matakwa na maelekezo ya...

Waombolezaji wakiwa na bango lenye picha ya Robert Mugabe siku ya kuaga mwili wake jijini Harare nchini Zimbabwe.

18Sep 2019
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mpigania uhuru wa Afrika aliyeiongoza Zimbabwe tangu mwaka 1987 hadi 2017, Robert Gabriel Mugabe, alifariki dunia Septemba 6, mwaka huu kwenye Hospitali ya Gleneagles nchini Singapore, alikokuwa...

Mshindi wa Jackpot ya Sh. milioni 825, Magabe Marwa, akiwa na familia yake. Kulia ni baba yake, Marwa Maratho, wapili kushoto ni mama yake,Wisiko Warioba akifuatiwa na mke wa mshindi, Elizabeth Wambura.

18Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Magabe na mwenzake Kingsley Pascal kutoka Biharamuro, Kagera mwezi uliopita walifanikiwa kushinda kwa pamoja mamilioni hayo kabla ya kugawana na kila mmoja kuibuka na Sh. milioni 412 kufuatia...

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson.

18Sep 2019
Ani Jozen
Nipashe
Wanamlaumu Waziri Mkuu Boris Johnson kwa hali hiyo kuwa bayana kutokana na utayari wake kusimamia Uingereza kuondoka umoja huo siku hiyo ikifika, kama ambavyo EU pia umeeleza bayana kuwa hakuna...
18Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika mechi ya kwanza ya michuano hiyo iliyopigwa Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam, Azam ilikubali kipigo hicho licha ya kumiliki mpira kwa kipindi chote, hivyo inahitaji kushinda kuanzia...
18Sep 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Na ili kuhakikisha wanafanya kama ilivyokuwa dhidi ya Township Rollers ugenini Botswana, leo uongozi wa klabu hiyo umepanga kujichimbia katika kikao kizito cha kuandaa mkakati wa ushindi.Tayari Yanga...

Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Godfrey Dilunga (43).

18Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika ukurasa wake wa Twiter, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, alisema "Godfrey Dilunga, Mhariri wa Gazeti la Jamhuri na kwa muda mrefu sana Mhariri Mkuu wa Gazeti la Raia Mwema...

Mkuu wa Mkoa wa Tabora ,  Agrey Mwanri.

18Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kura tisa zilimwangukia diwani huyo pamoja na mtu aliyedaiwa kuwa Mchungaji wa Kanisa wa FPTC, wote wakituhumiwa kujihusisha na utapeli wakati wa mkutano wa hadhara wa Mwanri na wananchi uliofanyika...

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro.

17Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa leo Septemba 17,2019 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime imeeleza kuwa mabadiliko hayo ni ya kawaida katika uboreshaji wa utendaji wa kazi kwa jeshi hilo.Mabadiliko...
17Sep 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Kwa mujibu wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), wavulana waliotarajiwa kufanya mitihani hiyo walikuwa 451,235 sawa na asilimia 47.64, huku wasichana wakiwa 495,986, sawa na asilimia 52.36....

RAIS John Magufuli.

17Sep 2019
Beatice Moses
Nipashe
Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha kutengeneza mabomba Vingunguti jijini Dar es Salaam, alieleza jinsi alivyoshangazwa na Watanzania walioshangilia mkasa ulioikumba ndege hiyo ambayo...
17Sep 2019
Allan lsack
Nipashe
Naibu Waziri wa wizara hiyo, Dk. Faustini Ndungulile, alisema hayo mwishoni mwa wiki jijini Arusha, wakati akifungua kongamano la udhibiti wa maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi lililoshirikisha taasisi...

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Vincent Mashinji.

17Sep 2019
Enock Charles
Nipashe
Akizungumza katika mahojiano maalum na gazeti hili wiki iliyopita, Dk. Mashinji alisema wakati wa uongozi wa Dk.Slaa akiwa Katibu Mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini, mazingira ya...
17Sep 2019
Mhariri
Nipashe
Maisha, wanyama na mazao yalipotea  kwenye migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji maeneo mengi nchini.Kiini cha mgogoro ni ardhi, wafugaji  hawana sehemu ya kulisha mifugo ...
17Sep 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
Taifa Stars inatarajia kuikaribisha Sudan katika mchezo wa kwanza wa mashindano hayo ya kimataifa utakaochezwa Septemba 22, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na marudiano...

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi.

17Sep 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Ofisa Uhusiano wa Tasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Patrick Mvungi, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, alisema jopo la wataalam saba wanaomtibu Askofu Ruwa'chi ndilo liliamua...
17Sep 2019
Peter Mkwavila
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Balthazar Ngowi, alipokuwa akifungua mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo maofisa watendaji wa kata ili waweze kusimamia afua...

Inashauriwa kuwasikiliza watu walio katika msongo wa mawazo na kuwasaidia mapema, kwani jambo hili lisipofanyika mapema husababisha wachukue hata maamuzi ya kujiua.

17Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika ripoti yake mpya, shirika hilo la afya duniani limesema viwango vya kujiua duniani vimepungua kwa kiasi fulani kati ya mwaka 2010 na 2016, lakini idadi ya vifo imeendelea kuwa pale pale...

Pages