NDANI YA NIPASHE LEO

MBWANA SAMATTA

19Jan 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Kasongo alikaririwa na moja ya vituo vya redio vya jijini Dar es Salaam jana akieleza kuwa licha ya Samatta kuafikiana na Genk, mmiliki wa TP Mazembe, Moise Katumbi, bado anavutana na klabu hiyo hasa...

katibu mkuu yanga jonas Tiboroha

19Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
*** Tangu atue Jangwani Januari 2015, Tiboroha amedhibiti mianya ya ufujaji wa fedha za klabu hiyo kongwe nchini ...
Taarifa hizo zimeendelea kuzagaa huku moja ya sababu ya kutaka kung'olewa kwa msomi huyo mwenye Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Michezo, ikielezwa ni kitendo chake cha kuziba 'mianya ' ya watu...

WANAFUNZI

19Jan 2016
Nipashe
Shule hiyo ambayo ipo chini ya Manispaa ya Sumbawanga imekuwa ikipokea fedha kutoka serikali kuu kwa ajili ya kujiendesha pamoja na gharama za kuwasafirisha watoto makwao wakati wa likizo na...

ISMAIL JUSSA

19Jan 2016
Nipashe
“Ni kweli kuna madhehebu mengi ya dini duniani, lakini kanisa katoliki ndilo lenye kiongozi mkuu duniani na ameonyesha uwezo mkubwa katika kupigania haki za binadamu na mabadiliko ya kiutawala kufanyika kwa njia ya amani.”
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa chama hicho, Ismail Jussa Ladhu, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana juu sababu za kumtaka kiongozi huyo mkuu wa kidini...

MKURUGENZI MKUU TAA, Suleiman Said Suleiman

19Jan 2016
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Lucas Mkondya, akizungumza na Nipashe alisema tukio hilo lilitokea jana saa 12:00 asubuhi wakati akiogelea katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Feri. Akielezea...

WAZIRI MKUU MSTAAFU, EDWARD LOWASSA

19Jan 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Aonya watakaochemka kutimuliwa kazi
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana baada ya kukutana na Mameya na Manaibu Meya wa Manispaa hizo ofisini kwake, Lowassa alisema kila watakachokifanya ni lazima kiwe cha...

SPIKA WA BUNGE, JOB NDUGAI

19Jan 2016
Nipashe
ni wa bilioni 300 ulioibuliwa tangu Oktoba
Hoja zingine kadhaa zikiwamo za mashirika ya umma yasiyo na tija, sheria tata na miswada iliyowekwa viporo, pia zinatarajiwa kutikisa mhimili huo wa dola wenye dhamana kubwa ya kutunga sheria....
18Jan 2016
Nipashe
TANGU Kocha Mkuu wa timu ya taifa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa alipomteua mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wa ndani Mbwana Samatta kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa kumekuwa na mijadala...
18Jan 2016
Sanula Athanas
Nipashe
DONDOO MUHIMU: Mbaya zaidi, mchezaji wa timu zinazotajwa kuwa ndogo akifanya kosa, anaadhibiwa. Kosa hilohilo linapofanywa na timu zinazotajwa kubwa, TFF inasita kuchukua uamuzi. Tunalipeleka wapi soka la Tanzania?
URA imekuwa timu ya pili kutoka Ligi Kuu ya Uganda kushinda taji la michuano hiyo tangu ilipoanzishwa 2007 kuenzi Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika Januari 12, 1964. Licha ya kushirikisha timu...

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta akipambana na Kolo Abib Touré wa Cote d'Ivoire

18Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Uteuzi huo ulifanywa muda mfupi baada ya straika huyo matata wa klabu ya TP Mazembe ya DR Congo kushinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika Anayecheza barani. Uamuzi huo wa benchi la ufundi la Taifa...

Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea,

18Jan 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, mbunge huyo alisema sababu za kutaka mjadala huo kurejeshwa ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kama ni Kampuni ya Kufua Umeme Tanzania (IPTL) au Umma. Sababu...

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako.

18Jan 2016
Nipashe
“Januari 6, 2016 wanachama wa Tamongsco tulikutana na Waziri wa Elimu na tukawasilisha hoja zetu tano kuhusu mfumo wa GPA na tukamshauri asitishe mfumo huu mpaka pale hoja hizo zitakapojibiwa.”
Aidha, shirikisho hilo limesema Necta imekiuka sheria ya 107(3) (4) kwa kutangaza matokeo ya mtihani huo bila kushirikisha Tamongsco kama sheria inavyoelekeza. Katibu Mkuu wa shirikisho hilo,...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Sanaa, Nape Nnauye.

18Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Mkurugenzi wa kampuni hiyo ambaye pia ndiye aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Mawio lililokuwa likitoka kila wiki, Simon Mkina, alisema wameshItushwa na uamuzi wa...

Rais Dkt. John Magufuli

18Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
*Wenye hoteli walia, ajira shakani, *Wachumi waonya, Ikulu yafunguka
Kadhalika, baadhi ya wasomi wamesema licha ya dhamira nzuri ya serikali katika kuhakikisha inabana matumizi ili fedha zitakazopatikana zielekezwe katika miradi ya maendeleo, bado kuna haja ya...
16Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Muingereza huyo amekuwa kocha mkuu wa 21 kufungashiwa virago na mabingwa hao mara 18 wa Tanzania Bara tangu mwaka 1998 'vurugu' za kufukuza ovyo makocha zilipoanza Msimbazi. Kerr (48), Muingereza...

Katibu Mtendaji NECTA, Dk. Charles Msonde

16Jan 2016
Nipashe
Matokeo hayo yalitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dk. Charles Msonde, ambaye alisema waliofanya mtihani huo mwaka jana walikuwa ni wanafunzi 363,666 sawa na...

Mwenyekiti Rais Ali Mohamed Shein.

16Jan 2016
Nipashe
ZEC ilianza kukutana juzi chini Mwenyekiti wake Jecha Salim Jecha na kujadili ajenda moja ya marudio ya Uchaguzi Mkuu. Taarifa za uhakiza ambazo Nipashe inazo zinasema kuwa ajenda hiyo baada ya...

Mkurugenzi wa TCRA Dkt. Ally Simba

16Jan 2016
Romana Mallya
Nipashe
Mbali na Shamte washtakiwa wengine ni Ofisa Mkuu wa Fedha, Raphael Onyango, Mhasibu Said Ally, Ofisa Masoko, Noel Chacha, Msimamzi wa Mtandao, Tinisha Max na Mkuu wa Takwimu wa Biashara wa kampuni...

Rais John Magufuli.

16Jan 2016
Nipashe
Hayo yalisemwa na vijana hao kwa nyakati tofauti wakati wakizungumza na Mwandishi wetu juzi katika kijiji cha Enzi kata ya Kilulu wilayani Muheza, ambapo vijana wengi wamejiingiza katika vitendo vya...

Kocha wa Simba, Dylan Kerr

15Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Muingereza huyo amekuwa kocha wa 21 kutimuliwa Simba tangu 1998 vurugu za kufukuza ovyo makocha zilipoanza Msimbazi ...
Jumatatu klabu hiyo ilitangaza kuachana na Muingereza huyo aliyetua Msimbazi Julai mwaka na kuiongoza timu yao katika mechi 13 za Ligi Kuu, akishinda nane, sare tatu na kupoteza mbili kwenye nafasi...

Pages