NDANI YA NIPASHE LEO

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO.

15Jun 2019
Ibrahim Yassin
Nipashe
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza (jina na shule vinahifadhiwa) amedai amekuwa akibakwa na askari huyo akiwa katika lindo kwa shinikizo la mama yake mlezi ambaye alikuwa na urafiki na askari huyo.Said...

mkunga akimfanyia vipimo mama mjamzito.picha na mitandao

15Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ofisa Muuguzi Mkunga wa Zahanati ya Nyanchabakenye wilayani hapa, Nangi Jacob, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo baada ya Belinda kufika katika zahanati hiyo akiwa katika hali ya kuumwa uchungu....
15Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
 Hata hivyo, katika kipindi hicho cha miezi 10, serikali imetumia Sh. trilioni 12 kulipa mishahara ya watumishi wa umma na deni la serikali. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk...
15Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, aliiambia Nipashe mjini hapa kwamba soko hilo litakuwa katika jengo ambalo hapo awali lilikuwa likitumiwa na shule ya Braeburn katika barabara ya Old Moshi....
15Jun 2019
Barnabas Maro
Nipashe
   Mingine ni mpira wa pete, mpira wa wavu na mpira wa magongo.      Zamani, kandanda ulikuwa mchezo wa kuwapa mazoezi wachezaji na wakati huo huo kuwaburudisha...
15Jun 2019
Mhariri
Nipashe
Timu ya Tanzania (Taifa Stars) ni moja kati ya mataifa 24 ambayo yatachuana katika fainali hizo zinazoandaliwa na kusimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwania kombe hilo linaloshikiliwa na...

Rais Dkt. John Magufuli akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Jaji Mstaafu January Msofe.PICHA MTANDAO

15Jun 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Pendekezo hilo limekuja baada ya kubaini kuwapo sheria za ufilisi ambazo zimepitwa na wakati na baadhi zinatoa adhabu au faini ndogo kwa wale wanaokiuka taratibu za ufilisi kama vile Sh. 200 au Sh. 1...
15Jun 2019
John Juma
Nipashe
Jamii yeyote isiyokuwa na utaratibu, basi migongano itakuwa ni sehemu ya maisha yao ya kila siku.  Hivyo lazima kuwe na utaratibu maalumu ambao jamii hii utaishi kwao, utaratibu huu utaongoza au...
15Jun 2019
Reubeni Lumbagala
Nipashe
Wanafunzi na walimu wanapaswa kujifunza katika mazingira bora yatakayochochea kujifunza wenye tija. Vyumba vya madarasa, maabara, maktaba, nyumba za walimu, vyoo na ofisi ni miongoni mwa miundombinu...
15Jun 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ni baada ya kuitingisha Yanga ambayo leo inaendesha harambee ya "Kubwa Kuliko"...
Mabingwa hao wa Bara, jana mchana walitangaza kumsajili Kakolanya, ambaye alikuwa mchezaji huru kwa kumpa mkataba wa miaka miwili.Kakolanya alitangazwa kuwa huru baada ya Yanga kushindwa kumlipa...

Daktari Bingwa wa Tiba Radiolojia wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Flora Lwakatare akizungumza na waandishi.

15Jun 2019
Beatrice Shayo
Nipashe
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Daktari Bingwa wa Radiolojia, Flora Lwakatare, wakati akizungumza na waandishi wa habari.Alisema MNH kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Yale na vyuo...

MKUU wa Mkoa wa Katavi,Juma Homera

14Jun 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Homera ametoa wito huo juzi wakati akizungumza na waandishi wa habari, waliotembelea hifadhi hiyo kwa lengo la kujienoa vivutio vilivyopo katika mkoa huo.Amewahamisha Watanzania kutembelea vivutio...

Muonekano wa bandari ya Kipili

14Jun 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Aidha, ameahidi kufanya operesheni maalum kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, kuzuia matumizi ya bandari bubu zote zilizopo na zinazofanya kazi katika maeneo ambayo hayajarasimishwa na...
14Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Mshana alisema katika kipindi hiki Watanzania wanapaswa kuungana kuiombea timu yao ili ifanye vizuri kwenye mashindano hayo na kuipa heshima jina la nchi.“Sisi...

KOCHA mpya wa mabingwa wa Kombe la FA, Azam FC Mrundi Etienne Ndayiragije.

14Jun 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
Azam FC iliyomaliza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita katika nafasi ya tatu, pia ni mabingwa wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati maarufu Kombe la Kagame.Akizungumza na gazeti...

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Emmanuel Amunike.

14Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amunike alisema hayo jana jioni kabla timu yake haijakutana na wenyeji Misri (Mafarao) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliotarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Borg El Gharab mjini Alexandria....
14Jun 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Yafanikiwa kumbakisha Mkude klabuni hapo na yatamba kusajili 'majembe' ya viwango...
Mkude ambaye wiki iliyopita alitemwa katika kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars), amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuwatumikia mabingwa hao na kuzima ndoto za Yanga ambao walikuwa...
14Jun 2019
Romana Mallya
Nipashe
 Katibu wa Chadema Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola, aliiambia Nipashe jana kuwa Lihambalimu aliuawa usiku wa kuamkia juzi na watu hao ambao walifika nyumbani kwake saa nane usiku.Alisema watu...

Mwenyekiti  wa  NEC, Jaji  Semistocles  Kaijage,

14Jun 2019
Enock Charles
Nipashe
Akizungumza  na  viongozi  wa  vyama  vya  siasa  jijini  Dar es  Salaam  jana, Mwenyekiti ...

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara.

14Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara, alisema bungeni jana wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Sophia Mwakagenda....

Pages