NDANI YA NIPASHE LEO

19Aug 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Salum Chama, amesema kuwa wameweka sheria kali ya kuwabana waamuzi kwa msimu ujao, ambapo watakuwa wanafuatilia kuanzia mechi ya kwanza na atakayebainika kwenda...
19Aug 2019
Mhariri
Nipashe
Ligi hiyo ambayo awali ilikuwa ianze Agosti 23, mwaka huu kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Simba kukutana na JKT Tanzania, itaanza rasmi Agosti 25 kutokana na mchezo huo wa ufunguzi kusogezwa mbele...

Coutinho

19Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Nyota huyo aliwekwa nje ya kikosi cha Barcelona kilichocheza na Athletic Bilbao kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga, usiku wa juzi kwa sababu alikuwa akihusishwa na kuachana na...

Mwinyi Zahera

19Aug 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
-huku Kocha Mwinyi Zahera akiponda timu kuweka kambi huko.Hata hivyo, haikuwa rahisi kwa Yanga kupata ushindi huo na ilibidi isubiri dakika saba kabla ya mechi kumalizika, ndipo mamia ya mashabiki wa...
19Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa kutoka katika Kamati ya Mashindano ya Baraza la Soka la Afrika Mashariki na Kati zimeeleza kuwa imepokea malalamiko kutoka kwa Ethiopia na inayafanyia kazi kabla ya kutoa uamuzi kuhusu rufani...

Sprite Bball Kings 2019

19Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo, uliofanyika Jumamosi iliyopita katika viwanja vya Mlimani City, jumla ya timu 39 zimejisajili ushiriki michuano hiyo inayotarajiwa kutimua vumbi hivi karibuni...

MKUU wa Wilaya ya kati Unguja, Hamida Mussa Khamis

19Aug 2019
Rahma Suleiman
Nipashe
Aliyasema hayo wakati akizungumza na wananchi, masheha na watendaji wa wilaya hiyo Kijiji cha Ubago, wakati wa uzinduzi wa uwekaji alama inayobainisha Shehia ya Dunga Kiembeni na Kidimni.Alisema...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi

19Aug 2019
Rahma Suleiman
Nipashe
Umesema mazingira hayo yanawapa moyo wa kuanzisha mradi wao unaokuwa ndani ya bahari masafa ya mita 100, umbali wa ardhi unaoambatana na mita 10 chini ya bahari.Mwakilishi wa kampuni hiyo, Profesa...
19Aug 2019
Nebart Msokwa
Nipashe
Hali hiyo inatokea licha Ofisi ya Msajili wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhamasisha.Zoezi hilo lilifanyika jijini Mbeya...
19Aug 2019
Nebart Msokwa
Nipashe
Inadaiwa baadhi ya wanafunzi wanaofaulu kidato cha nne na kutakiwa kujiunga kidato cha tano kwenda kusoma masomo ya michepuo ya Sanaa, wanabadili michepuo hiyo na kujiunga na masomo ya Sayansi....

Mkuu wa Wilaya hiyo, Jerry Muro

19Aug 2019
Woinde Shizza
Nipashe
Muro akiongea na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki baada ya mtambo huo kufika, alisema huo ni utekelezaji wa ahadi ya serikali ya utatuzi wa kero sugu ya barabara ambazo zimeharibika na kushindwa...

BALOZI wa China nchini, Wang Ke

19Aug 2019
Romana Mallya
Nipashe
Ke alisema hayo mwishoni mwa wiki wakati akitoa msaada wa samani za ofisi kwa ajili ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zanye thamani ya Sh. milioni 45 kuhakikisha kituo hicho kinahudumia vema...

Geita Gold Mining (GGM)

19Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Serikali imesema kwa kufanya hivyo, serikali itapata mapato yake. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi, wakati wa hafla ya kutiliana saini hati ya...
19Aug 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Aliyefariki dunia ametajwa kuwa ni utingo aliyefahamika kwa jina moja la Erick (22) na kumjeruhi dereva, Ibrahimu Issa. Lori hilo lenye namba za usajili RAD 416V na tela namba RL 1950 lilianguka...

MSAJILI wa Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini (NGO), Vickness   Mayao

19Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkurugenzi Msaidizi Uratibu wa NGO kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Grace Mbwilo, alitoa taarifa hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi na Msajili wa NGO nchini.Alisema...
19Aug 2019
Marco Maduhu
Nipashe
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Richard Abwao, alisema watuhumiwa hao walikuwa na mtambo wa kufyatua madini hayo bandia ya dhahabu ambayo...
19Aug 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Takwimu za Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani zinaonyesha katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2013 hadi 2017, kiwango cha ajali kimeshuka huku makosa yanayotokana na uzembe wa madereva...
19Aug 2019
Beatice Moses
Nipashe
Mwenyekiti wa SADC, Rais Dk. John Magufuli, alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati akifunga mkutano wa 39 wa viongozi wakuu wa nchi hizo na serikali. Alisema Kiswahili kitatumika rasmi katika...
19Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wake hao wa marais wakiongozwa na mwenyeji wao Mama Janeth Magufuli, walitembelea Kijiji cha Makumbusho, Barabara ya Bagamoyo na Makumbusho Nyumba ya Utamaduni iliyoko mita chache kutoka ukumbi wa...
19Aug 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Programu hizo ni kuboresha uwekezaji na mazingira bora ya biashara (SIBE), Programu ya kuwezesha biashara kufanyika kwa urahisi (TFP) na Programu ya kusaidia viwanda na sekta za uzalishaji (SIPS)....

Pages