NDANI YA NIPASHE LEO

13Jun 2019
Mhariri
Nipashe
Mpango wa Maendeleo ya Taifa na ukomo wa bajeti ya mwaka 2019/20, unaonyesha bajeti hiyo ya nne kwa serikali ya awamu ya tano, inatarajiwa kuwa Sh. trilioni 33.1. Kwa mujibu wa mpango huo, mapato ya...
13Jun 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Ofisa huyo anadaiwa aliondoka na kifaa hicho baada ya kuacha kazi kutokana na kukumbwa kwenye sakata la wenye vyeti feki.Hayo yalisemwa jana na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Khatibu Chaulembo,...

MAKAMU wa Rais , Samia  Hassan.

13Jun 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe
Sekta hizo ni madini, maliasili, fedha hususani katika maeneo ya upatu (DECI) na maeneo mengine. Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 10 na mkutano mkuu wa Umoja wa urejeshaji wa mali...
13Jun 2019
Beatrice Shayo
Nipashe
Mwanafunzi huyo alilazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila kuanzia Oktoba 27, mwaka jana akipatiwa matibabu.Akizungumzia ugonjwa huo, Daktari Bingwa wa watoto, Mwanaidi Amiri, alisema...
13Jun 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Pamoja na hayo,  amemsihi Waziri mpya, Innocent Bashungwa, kuhakikisha ahadi aliyoitoa kwa Rais John Magufuli kwamba hatamuangusha aisimamie.Kakunda alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akimkabidhi...

RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo , Felix Tshisekedi.

13Jun 2019
Romana Mallya
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba...

WAZIRI WA FEDHA PHILIP MPANGO

13Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mpango wa Maendeleo ya Taifa na ukomo wa bajeti ya mwaka 2019/20, unaonyesha bajeti hiyo ya nne kwa serikali ya awamu ya tano, inatarajiwa kuwa Sh. trilioni 33.1.Kwa mujibu wa mpango huo, mapato ya...

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Wallace Karia na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia), wakionyesha jezi mpya za timu ya soka ya Taifa ‘Taifa Stars’ baada ya uzinduzi uliofanywa jana jijini. Jezi ya bluu ni ya nyumbani na njano ya ugenini. MPIGAPICHA WETU

13Jun 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Makonda awaonya wanaoibeza Afcon, Amunike afunguka ubora wao wakiivaa Misri leo huku...
Wachezaji wengine walioachwa katika kikosi cha mwisho ni Claryo Boniphace, Selemani Salula, David Mwantika, Fred Tangalu, Miraji Athumani, Shaban Chilunda na chipukizi, Kelvin John.Akizungumza jana...

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro.

13Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika barua yake ya wazi kwenda kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, aliyoomba ichapishwe kwenye gazeti la Nipashe ni kutaka asaidiwe kurudishiwa fedha zake pamoja na usumbufu....

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera.

12Jun 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Homera anatangaza marufuku hiyo, ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu ameteuliwa na Rais John Magufuli  kushika nafasi ya kuuongoza mkoa huo Mei 14, mwaka huu, ambao awali wakuwa unaongozwa na...

Meneja wa Bandari ya Ziwa Tanganyika, Ajuaye Msese.

12Jun 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Meneja wa Bandari ya Ziwa Tanganyika, Ajuaye Msese, aliyaeleza hayo juzi kwa waandishi wa habari waliotembelea bandari hiyo kushuhudia miradi ya maendeleo inayotekelezwa na TPA.Alisema mradi huo...

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo Joseph Kakunda.

12Jun 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Bashungwa ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma katika makabidhiano yake na aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo Joseph Kakunda ambaye Rais John Magufuli alitengua uteuzi wake Juni 8, mwaka huu.Amewataka...

Mkuu wa ldara ya Afya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dk Charles Katende.

12Jun 2019
Zanura Mollel
Nipashe
Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu, Dk. Katende ameeleza kuwa familia moja huko nchini Uganda ilisafiri kuelekea Congo kwa ajili ya mazishi na waliporejea nchini Uganda walirudi na...

Naibu Waziri Wa Mifugo Abdallah Ulega akikagua maabara ya majaribio mpaka Wa Namanga juu yanudhibiti Wa homa ya bonde la ufa.

12Jun 2019
Zanura Mollel
Nipashe
Amesema hayo kwenye ufunguzi wa zoezi la majaribio ya udhibiti wa magonjwa ya mlipuko  hususani homa ya bonde la ufa ( Rift valley fever) utakaoendeshwa kwa siku nne katika eneo la mpaka wa...

Mkurugenzi wa Utawala  na Fedha wa Brela,  Bakari  Mketo.

12Jun 2019
Mary Mosha
Nipashe
Kasi ya usajili wa kampuni kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga inaongeza hamasa kitaifa, licha ya kuwa wanakabiliwa na changamoto ya  ukosefu wa elimu ya namna bora ya...
12Jun 2019
Enock Charles
Nipashe
Wakazi kadhaa wa Jiji la Dar es Salaam wamefunguka kuelekeza kwao kufurahishwa na utekelezaji wa katazo hilo.Katika mahojiano na wadau mbalimbali katika jiji hilo wakiwamo wasambazaji na...

KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

12Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Miradi hyo ilitarajia kutoa ajira mpya kwa zaidi ya Watanzania 11,191 katika sekta  mbalimbali.Aliyebainisha hayo ni Meneja wa TIC Kanda ya Kaskazini, Daud Riganda, wakati wa maonyesho...
12Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkakati huo ulibainishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof. Adolf Mkenda, alipotembelea  maonyesho ya pili ya utalii ya Karibu Kili-Fair yaliyomalizika jijini hapa hivi...
12Jun 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Hiyo ni kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ambaye amekaririwa na vyombo vya habari hivi karibuni akiwataka watu kuacha kutiririsha majitaka...
12Jun 2019
Mhariri
Nipashe
Ni jambo jema kuwa bajeti itazungumzia maendeleo ya nchi kwenye uchumi, jamii, miundombinu na kwa ujumla kufikia malengo na matarajio ya kuwa na Tanzania ya viwanda na ya uchumi wa kati ifikapo 2025....

Pages