NDANI YA NIPASHE LEO

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mohamed Ahmed.

01Jul 2020
Dotto Lameck
Nipashe
Aidha, amevitaka vyama vya siasa kujenga hoja na ushawishi kwa wananchi katika kipindi cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huuAhmed amesema katika kuelekea uchaguzi mkuu, vyama...

Mwili wa Marehemu Tulizo Konga, ukifukuliwa huko mkoani Mbeya.

01Jul 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ndugu wamedai kuwa mara baada ya kutilia mashaka namna kifo cha ndugu yao kilivyotokea, ndiyo maana waliamua kufuatilia hatua zote lengo likiwa ni kuujua ukweli kama ndugu yao alifariki kifo cha...
01Jul 2020
Enock Charles
Nipashe
Katika taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu wa Kamati ya Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma , Janeth Rithe imesema kuwa Kiongozi huyo wa ACT-Wazalendo amerejea Kilwa kundelea na ziara yake kuwapokea...
01Jul 2020
Neema Hussein
Nipashe
Akisoma shitaka hilo Juni 30, 2020 katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani Katavi, jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Sumbawanga, David Mrango, alisema mtuhumiwa alitenda kosa hilo kinyume na...
01Jul 2020
Neema Hussein
Nipashe
Akisoma taarifa fupi mbele ya mkuu wa mkoa huo, mkuu wa gereza hilo, Majuto Masila, amesema wamezalisha magunia 1,226 ya mpunga na 605 ya mahindi. Amesema chakula hicho ambacho kimezalishwa mwaka...

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki:WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki: PICHA NA MTANDAO

01Jul 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku 5 katika mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya iliyomsaidia kujifunza, kujionea uwekezaji pamoja na kuzungumza na...
01Jul 2020
Romana Mallya
Nipashe
Pia kuna lita 147,398,593 za dizeli zitakazotosheleza matumizi kwa siku 29 na taarifa za kuwapo kwa uhaba wa mafuta hayo mamlaka inazifuatilia kupitia wakaguzi wake wa mikoa na wilaya.Akizungumza na...

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Bilinith Mahenge:PICHA NA MTANDAO

01Jul 2020
Peter Mkwavila
Nipashe
Walisema hayo jana wakati wa mkutano wao ambao pia ulihudhuriwa na Ofisa Masoko wa Jiji la Dodoma, James Yuna.Mmoja wa wafanyabiashara hao, Michael Ngoi, alisema wamekuwa wakiingia gharama kubwa...

Baadhi ya wachezaji wa timu ya wanawake ya Simba (Simba queens):PICHA NA MTANDAO

01Jul 2020
Saada Akida
Nipashe
Mabao ya Simba Queens katika mechi hiyo yalifungwa na Opa Clement na Mwanahamisi Omari 'Gaucho'.Kwa matokeo hayo, Simba Queens imeendelea kujiimarisha kileleni kwa kufikisha pointi 32,...

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Bernard Morrison :PICHA NA MTANDAO

01Jul 2020
Saada Akida
Nipashe
Taarifa zilizopatika jijini Dar es Salaam jana zinasema Morrison alitoroka katika kambi ya timu hiyo tangu juzi usiku, wakati akiwa ni sehemu ya mipango ya kikosi cha kilichoivaa Kagera Sugar jana...

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro, picha mtandao

01Jul 2020
Mary Geofrey
Nipashe
Viongozi wataka vyote wametafakari njia zao?
Mosi aliainisha kupiga vita rushwa ndani ya chama, kuondoa usaliti, unafiki, kung’angania madaraka, kujilimbikizia vyeo na maslahi. Akiwahutubia wajumbe 2,893 wa Mkutano Mkuu wa CCM ulioshirikisha...
01Jul 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Rais Magufuli alitoa kauli hiyo jana jijini hapa alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM na viongozi mbalimbali baada ya kurejesha fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
01Jul 2020
Somoe Ng'itu
Nipashe
Zinakutana katika mechi ya hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la FA, zikitambiana...
Azam FC ndio mabingwa watetezi wa mashindano hayo ambayo hutoa tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho Afrika.Simba itashuka dimbani leo tayari ikiwa na tiketi ya kushiriki...
01Jul 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na EWURA, bei ya petroli itapanda kutoka Sh. 1,520 hadi 1,693 kwa jiji la Dar es Salaam. Aidha, diseli itapanda kutoka Sh. 1,546 hadi 1,716 kwa Dar es...
01Jul 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Rushwa inatajwa kuwa ni chanzo cha uharibifu, udhalimu, uovu na ndiyo mzizi mkuu wa umaskini barani Afrika na mara nyingi imekuwa ikilelewa na kulindwa na viongozi wengi wa bara hili. Kwa ujumla...
01Jul 2020
Mhariri
Nipashe
Katika bajeti hiyo ambayo ni ya mwisho kwa awamu ya kwanza ya serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli, Sh. trilioni 21.98 zinatarajiwa kutumika kwa matumizi ya kawaida ukiwamo uchaguzi...
01Jul 2020
Shaban Njia
Nipashe
Mwenyekiti wa mgodi huo, Hamisi Mabubu, akiongea na Nipashe kwa njia ya simu, alisema tukio hilo limetokea saa tisa usiku wa kuamkia jana katika moja ya kiwanda cha uchenjuaji wa madini mgodini...
01Jul 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Na Fatma Mtutuma, UDOM Wamefanya hivyo kutokana na mabasi kuchelewa kupata abiria, ambao wanapenda kutumia usafiri wa bajaji ambazo zimeongezeka eneo hilo kwa nauli ile ile. Mmoja wa madereva...
01Jul 2020
Enock Charles
Nipashe
*Ajigamba ana wanachama wa kutosha , *Ziara yake Kusini adai 'kuna shida ufuta'
SWALI: Mara kadhaa ulisimama bungeni na kuzungumzia mustakabali wa zao la ufuta. Kuna mafanikio katika hoja yako hiyo? ZITTO: Tumekuwa tukifuatilia... eeh kuhusiana na zao la ufuta tangu tumeanza...
01Jul 2020
Alphonce Kabilondo
Nipashe
Aidha, watuhumiwa hao wanadaiwa kukutwa na pombe haramu aina ya gongo, noti bandia fedha za kimarekani dola 2,100 zenye thamani ya shilingi 4,861,500. Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Mtatiro...

Pages