NDANI YA NIPASHE LEO

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Jumanne Sagini

16Aug 2019
Happy Severine
Nipashe
Sagini alitengua uamuzi huo wakati akiongea na watumishi wa hospitali hiyo na kueleza kuwa jambo hilo haliwezi kuwa la kila mtumishi kwa kuwa sio wote walioshiriki katika tukio hilo.Alisema ni vema...
16Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Juzi, Jafo aliwataka wakurugenzi wa halmashauri za wilaya ambazo zimefanya vibaya kwenye utoaji wa fedha za miradi ya maendeleo, kujitathmini na kuandika barua ya kujieleza ndani ya siku 14. Wilaya...

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),

16Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia imeshauri kukazania kuongeza thamani mazao ya kilimo.Akiwasilisha mada jijini Dar es Salaam katika mkutano wa nne wa mwaka wa maendeleo ya viwanda katika nchi za Jumuiya yaMaendeleo Kusini mwa...

RAIS John Magufuli

16Aug 2019
Beatice Moses
Nipashe
Akizungumza jana wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliowakutanisha wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini, alisema mahitaji ya...

majahazi

16Aug 2019
Rahma Suleiman
Nipashe
Aliyasema hayo jana wakati akizungumza katika hafla ya kumuaga Nassir Salum Mabrouk ambaye atashiriki tamasha la safari ndefu duniani kwa kutumia usafiri wa boti katika kutembea dunia nzima kupitia...

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro

16Aug 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Watumishi hao kutoka kampuni ya Ultimate Security wanalalamikia kuuzwa kinyemela kwa kampuni hiyo, bila wao kushirikishwa na hawafahamu hatima ya stahiki zao.Wakiongea na vyombo vya habari baada ya...

zabibu

16Aug 2019
Paul Mabeja
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, wenye viwanda na kilimo Tanzania (TCCIA) Mkoa wa Dodoma, Idd Senge, alisema wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari.Alikuwa akizindua jukwaa la...

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga

16Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi 16 wanachama wa SADC. Alisema kuwa zaidi ya Watanzania milioni 50 wanategemea...
16Aug 2019
Woinde Shizza
Nipashe
Mratibu wa Asasi ya Infoy inayoshughulika na masuala ya chakula, Laurent Sabuni, alisema hayo jana katika maonyesho ya bidhaa za lishe, yaliyoandaliwa na shirika hilo kwa kushirikiana na shirika la...

RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa

16Aug 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Amesema viongozi wa SADC wanapaswa kuwajengea mazingira mazuri ya kupata ajira vijana ambao ndiyo idadi kubwa ili waziendeleze rasilimali zilizoko katika nchi zao.Mkapa alitoa rai hiyo jana katika...

WAZIRI Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda na Rais John Magufuli

16Aug 2019
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza wakati wa kupokea Mwenge wa Uhuru jijini Dodoma, uliopokelewa Nzinje  katika kata ya Zuzu, Pinda alisema kuna kila sababu ya kumpongeza Rais John Magufuli kwa sababu utendaji wake ni...
16Aug 2019
Romana Mallya
Nipashe
Wakati huo huo, Papa Francisko amemteua Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Ruwa’ichi, kuanzia sasa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo hilo.Taarifa iliyotolewa jana na Katibu Mkuu...

Wanakikundi wakijifunza ujasiriamali katika Kata ya Ukonga.

16Aug 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Hata itakumbukwa kaulimbiu iliyotumika zaidi nchini na hasa baada ya uhuru “Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu” ilibeba ujumbe mkubwa kuonyesha inatoa matunda chanya katika kila...
16Aug 2019
Grace Mwakalinga
Nipashe
Meneja wa TFS Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Ebrantino Mgiye, alisema  hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea kivutio hicho.Mgiye alisema wako kwenye mchakato wa...
16Aug 2019
Jaliwason Jasson
Nipashe
Aidha, chai inatajwa kuwa inasaidia kuimarisha viungo vya mwili na pia ni dawa inayomwepusha mtumiaji na maradhi, hivyo kuepuka gharama za matibabu.Ushauri huo ulitolewa jana na mtaalamu wa lishe wa...

RAIS John Magufuli na Rais wa Afrika Kusini, Matamela Ramaphosa

16Aug 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe
Rais Magufuli aliyasema hayo jana Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na wananchi kupitia vyombo vya habari muda mfupi baada ya kufanya mazungumzo na Rais Ramaphosa ambaye aliwasili nchini...

• Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alipokuwa katika ziara yake kukagua ununuzi wa pamba mjini, Shinyanga, siku chache zilizopita.

16Aug 2019
Marco Maduhu
Nipashe
Hili ni zao ambalo hata kabla ya matatizo ya sasa amekuwa akilipigia ‘debe’ kwamba liko kimkakati na lina nafasi ya kuleta mageuzi ya uchumi wa nchi na watu wake.Mara baada ya kufanya...
16Aug 2019
Grace Mwakalinga
Nipashe
Msimamizi wa TBS, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Abel Mwakasonda, aliyasema hayo jana wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo ya ujasiriamali.Alisema waliamua kutoa elimu ya ujasiriamali kwa viziwi kwa...
16Aug 2019
Grace Mwakalinga
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Mratibu wa Elimisha, Debora Mwanyanje, alipokuwa akizungumza na Nipashe wanavyowawezesha vijana kutumia fursa zilizopo ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani.Mwanyanje...
16Aug 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Siri ya kuongezeka kwa wanafunzi wanaoendelea kuandaliwa kwa ajili ya ndoa za utotoni, ilifichuliwa jana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Magadini, iliyoko Kata ya Gararagua, Felister Kileo, mbele ya...

Pages