NDANI YA NIPASHE LEO

30Jun 2020
Romana Mallya
Nipashe
Mikataba hiyo ilisainiwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, kwa niaba ya serikali na Balozi wa Ufaransa nchini, Frederic Clavier na Mkurugenzi Mkazi wa AFD, Stéphanie...

Mzuri Issa Mkurugenzi wa Tamwa Zanzibar. PICHA MTANDAO

30Jun 2020
Rahma Suleiman
Nipashe
Leo dunia inapokabiliwa na janga la corona na watoto kusimama kimasomo licha ya kwamba hapa nchini wamerudi shuleni, watoto waliotakiwa kulindwa wakiwa wametulia nyumbani kuanzia Machi hadi Juni 28...
30Jun 2020
Hawa Abdallah
Nipashe
Fedha hizo lengo lake ni kuzisaidia timu za Ligi Kuu ya Zanzibar wakati huu zinarudi kwenye ligi.Akizungumza na gazeti hili Katibu wa Kamati ya Mashindano ya ZFF, Hussein Ahamada Vuai, amesema kila...
30Jun 2020
Mhariri
Nipashe
Aidha, mwalimu mmoja akiwa hospitali kuuguza majeraha baada ya kushambuliwa akitoka kwenye shughuli zake eneo lile lile aliloshambuliwa mwalimu mwenzake. Tukio hilo linadaiwa ni la kulipiza kisasi...

Wanafunzi wakikaa kwa kuachiana nafasi darasani inaweza kuwa njia mojawapo ya kupunguza uwezekano wa kuambukizwa corona. PICHA: MTANDAO

30Jun 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa hiyo, kufungiwa kazi hizo kungeleta madhara makubwa kwa taifa. Baada ya shule za msingi na sekondari kufunguliwa ni jambo jema kwa wanafunzi, wazazi, walimu pamoja na kwa serikali yenyewe...
30Jun 2020
Saada Akida
Nipashe
Yanga itashuka katika mchezo huo ikiwa na kumbukumbu ya kichapo cha mabao 3-0, walichopata mara ya mwisho wakipokutana kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.Akizungumza na gazeti hili jijini jana, Eymael...

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa CHADEMA, Reginald Munisi, picha mtandao

30Jun 2020
Mary Geofrey
Nipashe
*Mpeperusha bendera urais kujulikana Julai 29
Kimesema mchakato huo unatarajiwa kuanza rasmi Julai 4 mwaka huu kwa wagombea urais kuanza kuchukua, kujaza na kutafuta wadhamini hadi Julai 19 mwaka huu. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa CHADEMA,...

Alex katika umri wa miaka 10 yuko mikononi mwa mama yake Upendo. Familia hii inaomba jamii na serikali iwasaidie. PICHA: BEATRICE PHILEMON

30Jun 2020
Beatrice Philemon
Nipashe
Nilipofika nilimkuta Upendo na mtoto wake mwenye ulemavu wa viungo wakiwa wananisubiri. Kijana huyo alikuwa amelala huku mama yake akiwasha mkaa kuandaa chakula cha jioni. Mtoto wake Alex mwenye...
30Jun 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, alisema ameamua kufanya hivyo kutokana na baadhi ya wagombea waliojitokeza kuwa na uwezo mkubwa na sifa kuliko yeye. Alisema pia...
30Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Miongoni mwa jitihada hizo au kampeni za kuchangisha fedha kutoka kwa wadau mbalimbali kwa ajili ya kununua taulo hizo ambazo zinatajwa kuwa suluhisho la tatizo hilo kwa wanafunzi wa kike zimefanyika...
30Jun 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hukumu hiyo ilisomwa na Hakimu Abdallah Yahya Shamhuni, baada ya kuona kwamba ushahidi uliotolewa mahakamani haukuwa na chembe ya shaka. “Mtuhumiwa umepatikana na hatia kwa makosa yote mawili,...

Mtendaji wa Taasisi ya Utawala Bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA), Thomas Ngawaiya, picha mtandao

30Jun 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utawala Bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA), Thomas Ngawaiya, alipokuwa akizungumzia hali ya kisiasa nchini. Alisema, baadhi ya...
30Jun 2020
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wanafunzi hao wamerejea baada ya Rais John Magufuli kutangaza kufunguliwa kwa shule hizo, huku Wizara za Elimu na Afya zikitoa mwongozo wa namna ya kuendelea na masomo kwa kuchukua tahadhari ya...

Ofisa tarafa ya Ngudu wilaya ya Kwimba, Hamza Hussein Hamza akizungumza na mwandishi wa habari hii (hayupo pichani).

29Jun 2020
Neema Emmanuel
Nipashe
"Mabadiliko ya binti yangu ni ya gafla mno naweza sema marafiki ndio wanaompotosha mwanangu mwanzo hakuwa na tabia mbaya alikuwa anajiheshimu anapenda kusoma Biblia  muda wote lakini alikuja kubadilika gafla mtaani wananisema sana....
Hiyo ni kauli ya Lucy Nestory (siyo jina halisi) mwenye umri wa miaka 13 mwanafunzi wa  darasa la saba katika shule moja ya msingi iliyopo wilayani Kwimba Jijini Mwanza.Mwandishi wa The...
29Jun 2020
Neema Emmanuel
Nipashe
Mradi huo wa tenki la kuhifadhia maji unagharimu  zaidi ya million 490 ambazo zinatolewa na Serikali kupitia Wizara ya Maji ambapo ujenzi wake unatarajia kukamilika Agosti mwaka huu."...
29Jun 2020
Neema Emmanuel
Nipashe
Mongella ametoa agizo hilo wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo, huku akisifia kazi inayoendelea ni nzuri lakini waongeze nguvu kwani fedha za Force Account zinatumika ndani ya siku 90 na...
29Jun 2020
Neema Emmanuel
Nipashe
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, alipokuwa katika ziara ya kukagua ujenzi hospitali, Chuo cha Ufundi Veta na ujenzi wa tenki la maji safi, baada ya kubaini kutokuwepo na...
29Jun 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Msimu uliopita 2018/19, Ligi Kuu Tanzania Bara ilimalizika kukiwa na 'hat-trick' sita, ambazo zilifungwa. 'Hat-trick' sita za msimu uliopita zilipatikana kwa wachezaji Alex Kitenge wa Stand United...
29Jun 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kikosi hicho cha Kocha, Jurgen Klopp kilihitaji ushindi mmoja ili kushinda kombe hilo, lakini baada ya Chelsea kuifunga City maana yake ni kwamba, Liverpool haiwezi tena kufikiwa pointi na timu...
29Jun 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Imemaliza ukame wa kusubiri miaka 30 kulipeleka kombe hilo katika Uwanja wa Anfield na Kocha, Jurgen Klopp amekuwa wa kwanza kwa kipindi cha miaka hiyo kulinyakua kombe hilo. Kuwa mabingwa huku...

Pages