NDANI YA NIPASHE LEO

29Jun 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwa sasa nafasi ya pili inashikiliwa na Yanga iliyofikisha pointi 60, huku Azam ikiwa imesalia pointi zake 59. Hii ni baada ya Yanga kuichapa Ndanda mabao 3-2 na Azam kulazimishwa sare ya bao 1-1...
29Jun 2020
Mhariri
Nipashe
Taifa Stars inayonolewa na Kocha Mkuu Mrundi, Etienne Ndayiragije, ilifuzu kushiriki fainali hizo kwa mara ya pili tangu zianzishwe baada ya kuwafunga Sudan hapo Oktoba mwaka jana. Hii ni mara ya...
29Jun 2020
Elizaberth Zaya
Nipashe
Walitoa kauli hiyo katika semina maalum jijini Dar es Salaam, iliyolenga kuwapatia elimu wanawake hao namna ya kupambama na vitendo hivyo vya ukatili iliyodhaminiwa na Taasisi ya Women Fund. Lucy...
29Jun 2020
Idda Mushi
Nipashe
Hili ni tukio karibu la tatu la moto katika kiwanda hicho, ambapo mwaka juzi jengo hilo pia lilishika moto, huku jengo la utengenezaji wa nguo (khanga) nalo likishika moto mwaka jana. Nipashe...
29Jun 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya uzinduzi wa mkakati huo sambamba na viongozi wengine waandamizi kutoka serikali na wadau wa utalii...
29Jun 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, wapo waliaonza kama Manaibu Waziri na kupewa uwaziri kamili na wengine kuingia katikati ya safari na kufanya mambo makubwa katika nafasi zao kiasi cha kugusa moyo wa rais na kuwasifia...
29Jun 2020
Gurian Adolf
Nipashe
Imeelezwa kuwa watu hao wamemfanyia kitendo hicho kwa kumtuhumu kujihusisha na vitendo vya kishirikina. Tukio la mauaji ya mwanamke huyo lilitokea Juni 26, saa 12:00 jioni baada ya watu hao kufika...
29Jun 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Sambamba na hilo, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhakikisha haki inatendeka kwenye uchaguzi huo kwa kusimamia sheria na kuwaondoa wale wote wanaotaka kuitia doa Tume hiyo. Kauli hiyo...
29Jun 2020
Idda Mushi
Nipashe
Hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo mkoani humo ni kuweka kikosi kazi maalum kikiongozwa na Mkuu wa Upelelezi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi Robert Mlasani na Ofisi ya Mkuu wa Polisi Wilaya ya...

Mweyekiti wa Act- wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad.

29Jun 2020
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizunguma na waandishi wa habari jana Mjini Zanzibar, alisema  amefikia uamuzi huo kutokana na sababu tano zilizomsukuma ikiwamo kutoridhishwa na jinsi nchi inavyoendeshwa.Alisema hivi sasa...
29Jun 2020
Ashton Balaigwa
Nipashe
Hatua hiyo inatokana na mazao hayo kuhitajika katika masoko ya nchi hizo, huku ikitarajia kujenga soko kubwa jijini Dar es Salaam ili chai inayozalishwa nchini inunuliwe na mataifa mengine. Lengo la...

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji ), Angela Kairuki:PICHA NA MTANDAO

29Jun 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Miongoni mwa hatua zitakazochukuliwa ni kwa nishati na miundombinu mingine ya uhakika lengo likiwa kuongeza uzalishaji na kuchochea ukuaji wa sekta ya viwanda nchini.Sambamba na hilo, Waziri Kairiki...
29Jun 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Aliyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati akifungua kikao cha mashauriano baina ya wadau wa sekta ya mafuta na gesi pamoja na menejimenti ya Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA)...

NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde:PICHA NA MTANDAO

29Jun 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Mavunde ambaye ni Mbunge wa Dodoma Mjini, alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akikabidhi mabati na nguzo za chuma za kuezeka paa la soko la matunda na mboga Bonanza jijini humo, ikiwa ni utekelezaji wa...
29Jun 2020
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mbeya City sasa imefikisha pointi 33 ikiwa imeshuka dimbani mara 32, na hivyo kubakisha mechi sita ili kumaliza msimu wa 2019/20 unaotarajiwa kumalizika Julai 26, mwaka huu.Akizungumza na gazeti hili...

Mwenyekiti wa MREFA, Elias Mwanjala:PICHA NA MTANDAO

29Jun 2020
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa MREFA, Elias Mwanjala, alisema tayari maandalizi ya awali yameshafanyika na wanaamini mchakato huo ukikamilika, wataongeza nguvu mpya ya kusimamia ligi...

Wachezaji wa Simba wakiwapungia mikono mashabiki. PICHA: MAKTABA

29Jun 2020
Somoe Ng'itu
Nipashe
Yafikisha pointi 79 ambazo hazitafikishwa na timu nyingine, kukabidhiwa kikombe cha ubingwa mkoani Lindi kwa...
Ubingwa huo ni watatu mfululizo baada ya kikosi hicho cha Mbelgiji, Sven Vandenbroeck kufikisha pointi 79 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine, huku zikiwa zimebakia mechi sita msimu huu...
29Jun 2020
Somoe Ng'itu
Nipashe
Ligi hiyo imerejea tena baada ya kusimama tangu Machi, mwaka huu kutokana na kujikinga na virusi vya ugonjwa wa corona.Kocha Mkuu wa Simba Queens, Mussa Hassan 'Mgosi' alisema wamejiandaa...
27Jun 2020
Ashton Balaigwa
Nipashe
Hatua hiyo inatokana na kuwapo kwa elimu duni inayotokana na uelewa mdogo wa sumukuvu, hatua inayo changia kuleta madhara kwa watumiaji wa vyakula vinavyotokana na kilimo cha nafaka.Wakulima hao...
27Jun 2020
Frank Kaundula
Nipashe
Waziri Mpina alifikia uamuzi huo juzi katika operesheni yake iliyoanza saa 10 alfajiri maeneo mbalimbali jijini Dar es Salam, akilenga kujionea uhalisia wa biashara hiyo, baada ya kufikiwa na taarifa...

Pages