NDANI YA NIPASHE LEO

07Aug 2020
Romana Mallya
Nipashe
Mwegelo alitoa agizo hilo jana wilayani hapa alipofungua mafunzo hayo ya miezi minne kwa vijana hao ambao miongoni mwao wanawake ni 62 na wanaume ni 88 wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 25....
07Aug 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Mwenyekiti wa klabu hiyo, Oscar Kapinga alisema jana kuwa baada ya kutofanya vema msimu uliomalizika kiasi cha kusubiri dakika za mwisho, kwa sasa wameona waanze mapema kuitengeneza timu yao kwa...

Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella.

06Aug 2020
Neema Emmanuel
Nipashe
Hayo yalibainishwa leo na Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella wakati wa kikao kazi cha wadau kuhusu ununuzi wa zao la ndegu msimu wa 2020/2021.RC Mongella amesema asilimia 70 ya Watanzania ni...

mbunifu wa kifaa cha kupanda mbegu mbalimbali shambani kutoka VETA Kihonda Morogoro Gema Ngoo (kulia)akitoa elimu ya matumizi ya kifaa hicho cha kupandia mbegu shambani.

06Aug 2020
Happy Severine
Nipashe
Gema  amesema hayo leo wakati  akitoa maelezo ya elimu ya matumizi ya kifaa cha kupandia mbegu mbalimbali kwa wananchi waliotembelea kwenye  banda la VETA viwanja wa nane...
06Aug 2020
Faustine Feliciane
Nipashe
Juzi beki huyo alikutana na uongozi wa klabu yake kwa ajili ya mazungumzo ya kuongeza mkataba, lakini hata hivyo mazungumzo hayo yalivunjika bila kufikia muafaka. Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi wa...

Kamanda wa Polisi Mkoani Shinyanga, Debora Magiligimba, akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa wazee, kujadili athari za imani potofu za kishirikina na ramli chonganishi. PICHA: MARCO MADUHU.

06Aug 2020
Marco Maduhu
Nipashe
• RPC: Wao, wanaowatuma, tunao!
Chanzo kikuu kinatajwa ni imani za kishirikina, yanayosababishwa na waganga wa jadi, kupitia ramli wanazopiga kuwaambia wateja wao kuwa wamerogwa na wazee, ndipo mchakato wa kuanza kutekelezwa mauaji...
06Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Awali, uongozi wa Azam FC ulieleza kupokea barua kutoka Yanga ikieleza nia yao ya kuomba kufanya mazungumzo ya kumsajili Sure Boy, lakini miamba hiyo ya Chamazi, Mbagala jijini Dar es Salaam ikakataa...
06Aug 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Pia, amewataka BAKITA kuwabana wachapishaji wa vitabu kabla ya kuingia sokoni mpaka vipate ithibati, wamiliki na walimu wa vituo vya kufundishia Kiswahili kwa wageni kupewa vyeti vya utambuzi....
06Aug 2020
Saada Akida
Nipashe
***Sababu za kumtimua zawaumiza, wachezaji wapewa wiki mojai, Bodi ya Wakurugenzi sasa kuamua...
Sven ambaye mkataba wake umemalizika mwishoni mwa msimu huu, ameondoka juzi na kurejea kwao kwa mapumziko huku akiwa hajui mustakabali wa maisha yake ya baadaye ndani ya klabu hiyo kama ataongezwa...
06Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mtinika alitoa pongezi hizo jana jijini Dar es Salaam wakati alipozungumza katika hafla ya uzinduzi wa kampeni iliyoandaliwa na WaterAid inayolenga kupambana na magonjwa ambukizi ambayo chanzo chake...
06Aug 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Kwa mujibu wa tume hiyo uchukuaji fomu ulianza jana hadi 25, mwaka huu katika Ofisi za NEC zilizopo jijini hapa. Wagombea hao walianza kuwasili katika Ofisi za NEC kuanzia saa 4:30 asubuhi, ambapo...
06Aug 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika kikao kazi kilichopitia utekelezaji wa malengo na kuzingatia mafanikio yaliyopatikana tangu kikao cha mwisho kilichofanyika Agosti 10, mwaka huu . Waziri Mpina alisema kuwa TADB...
06Aug 2020
Allan lsack
Nipashe
Juzi, shirika hilo lilizindua kurejea kwa huduma zake nchini baada ya kushuka kwa ndege yake ya abiria yenye namba za usajili Boeing 777 PH-BQB katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA...
06Aug 2020
Grace Mwakalinga
Nipashe
ndonya ambazo zinamuibia mkulima. Malanga alitoa wito huo jana wakati akizungumza na Nipashe kuhusu utoaji elimu kwa wananchi juu ya matumizi ya vipimo vilivyothibitishwa na wakala huyo....

Rais John Magufuli akila mhindi wa kuchoma alioununua katika eneo la Dumila Darajani, aliposimama kuzungumza na wafanyabiashara wadogo akiwa njiani kuelekea Dodoma, jana. PICHA: IKULU

06Aug 2020
Mary Geofrey
Nipashe
Akiwa Dumila jana wakati wa safari yake hiyo, Rais Magufuli alizungumza na wakazi wa eneo hilo ambao wanajishughulisha na biashara ndogo za kuuza mahindi ya kuchoma, mahindi mabichi, nyanya, vitunguu...

Mgombea urais wa Chama cha ACT-Wazalendo, Bernard Membe (wa pili kushoto), akisalimiana na mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, wakati wa Mkutano Mkuu wa ACT, jijini Dar es Salaam jana. PICHA: ANTHOMY SIAME

06Aug 2020
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wagombea hao walipitishwa jana katika mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwamo mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (...

Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TDMA), Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Anitha Mshighati, akionyesha sampuli za dawa na vifaa tiba, ambavyo vinaruhusiwa na mamlaka hiyo, kutumika katika maonyesho ya wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, jana. PICHA: GRACE MWAKALINGA

06Aug 2020
Grace Mwakalinga
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Nyanda za Juu kusini, Anita Mshighati, wakati akizungumza na Nipashe, kuwa miongoni mwa sababu zinazochangia uuzaji wa...
06Aug 2020
Happy Severine
Nipashe
Amesema jambo ambalo linalofanywa na benki hiyo ni muhimu sana hasa kwa wakulima, wavuvi na wafugaji ambao wana uhitaji mkubwa wa elimu ya usimamizi wa fedha. Bashungwa alisema hayo jana baada ya...
06Aug 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Maziwa ya mama yanatajwa kitaalamu kuwa ni muhimu kwa afya na makuzi ya mtoto, licha ya umuhimu huo, bado kunatajwa kasoro katika unyonyeshaji, ikiwamo kuzingatia lishe bora. Hata hivyo, suala la...
06Aug 2020
Elizaberth Zaya
Nipashe
Vikao vya CCM vinatarajiwa kufanyika wakati wowote kuanzia sasa kuteua wanachama watakaopeperusha bendera ya chama hicho kwenye nafasi za ubunge, uwakilishi kwa upande wa Zanzibar na udiwani katika...

Pages