BIASHARA »
MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema bila kufanya utafiti kwenye kilimo itakuwa vigumu kufanikiwa.
SERIKALI imesema idadi ya watalii walioingia nchini kutoka nchi za nje kwa kipindi cha Januari...
WAZIRI wa Uchumi wa Bluu na Uvuvi, Suleiman Masoud Makame, amesema nchi nyingi zimeonyesha nia...
WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Dk. Khalid Salum Mohamed, amesema uwekaji wa matumizi...
MAMLAKA ya mapato nchini (TRA) mkoani Manyara, imetoa elimu ya kodi kwa wachimbaji wa madini ya...
WANANCHI wa kijiji cha litola na kumbara wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wametakiwa kuona...
TAASISI ya NMB Foundation imetangaza kuanza rasmi utaratibu wa kutoa ufadhili wa masomo kwa...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Shinyanga, imebaini kuwapo na...
SHIRIKA la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) kupitia mradi wake wa FISH4ACP limefanya...
Pages
Picha »

Waziri wa ujenzi na uchukuzi, Prof Makame Mbarawa ameambatana na waziri wa fedha Dr. Mwigulu Nchemba mkoani Kigoma kwaajili ya kutembelea miradi ya maedeleo itakayochangia kuufungua mkoa wa Kigoma.

Balozi wa India nchini, Shri Binaya Srikanta Pradhan (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa gazeti la The Guardian, Wallace Maugo (watatu kulia), alipotembelea chumba cha habari cha Kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya The Guardian na Nipashe, Mikocheni, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe na (watatu kushoto) ni Mkurugenzi wa TGL, Joyce Luhanga. PICHA ZOTE: MIRAJI MSALA
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa (wapili kushoto), baada ya kuwasili kwenye ofisi za kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya Nipashe na The Guardian, Mikocheni, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGL, Joyce Luhanga. PICHA ZOTE: MIRAJI MSALA