Mkurugenzi bodi ya sukari atumbuliwa

06Oct 2018
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM
Nipashe
Mkurugenzi bodi ya sukari atumbuliwa

WAZIRI wa Kilimo, Dk. Charles Tizeba, ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania, Miraji Kipande.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania, Miraji Kipande.

Habari Kubwa