BIASHARA »

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Kanda ya Afrika Mashariki, Dkt. Nyamajeje Weggoro, akizungumza jambo wakati Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (kushoto) akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma. Katikati ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb).

26Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk. Akinumwi Adesina, ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa Rais John Magufuli na kuahidi kuwa benki yake itawekeza zaidi ya...

26Apr 2018
Paul Mabeja
Nipashe

VIJANA zaidi ya 150 wamepatiwa mafunzo ya ujasiriamali na stadi za maisha kupitia mradi wa VIA...

26Apr 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

MELI ya Mapinduzi II inayosafirisha abiria kutoka Unguja kwenda kisiwani Pemba inaendelea...

21Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, ameipongeza azma ya Shirika la Ndege la Misri (Egyptair...

21Apr 2018
Salome Kitomari
Nipashe

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, ameitaka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,...

21Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KAMPUNI mbili za matangazo ya kazi mtandaoni, BrighterMonday na Zoom Tanzania, zimeungana...

21Apr 2018
Jaliwason Jasson
Nipashe

WAKULIMA wa mahindi mkoani Manyara, wamesema msimu huu wa kilimo umekuwa mgumu kwa kuwa...

20Apr 2018
Beatrice Shayo
Nipashe

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, amesema Euro milioni 55 (sawa na Sh....

20Apr 2018
Sanula Athanas
Nipashe

SERIKALI imetoa tahadhari kwa wakulima wa korosho baada ya kuibuka kwa ugonjwa mpya katika zao...

Pages