BIASHARA »

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Kanda ya Afrika Mashariki, Dkt. Nyamajeje Weggoro, akizungumza jambo wakati Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (kushoto) akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma. Katikati ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb).

26Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk. Akinumwi Adesina, ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa Rais John Magufuli na kuahidi kuwa benki yake itawekeza zaidi ya...

26Apr 2018
Paul Mabeja
Nipashe

VIJANA zaidi ya 150 wamepatiwa mafunzo ya ujasiriamali na stadi za maisha kupitia mradi wa VIA...

26Apr 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

MELI ya Mapinduzi II inayosafirisha abiria kutoka Unguja kwenda kisiwani Pemba inaendelea...

13Jul 2016
Neema Emmanuel
Nipashe

BENKI ya CRDB tawi la Nyerere jijini Mwanza, imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya...

12Jul 2016
Godfrey Mushi
Nipashe

MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadiki amesema Chama Kikuu cha Ushirika cha KNCU...

12Jul 2016
Nebart Msokwa
Nipashe

BAADHI ya waendesha pikipiki maarufu Bodaboda jijini Mbeya, wamewaomba watumishi wa Hospitali ya...

12Jul 2016
Rahma Suleiman
Nipashe

MFUMKO wa bei umeongezeka na kufikia asilimia 2.2 kutoka asilimia 0.7 visiwani Zanzibar, huku...

11Jul 2016
John Ngunge
Nipashe

ONGEZEKO la wanyamapori linaloshuhudiwa kwa sasa katika hifadhi za taifa linatokana na wamiliki...

11Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SERIKALI inadaiwa kukiagiza Kiwanda cha Kukoboa Kahawa cha TCCCO cha Moshi, kukilipa kikundi cha...

Pages