BIASHARA »

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Kanda ya Afrika Mashariki, Dkt. Nyamajeje Weggoro, akizungumza jambo wakati Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (kushoto) akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma. Katikati ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb).

26Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk. Akinumwi Adesina, ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa Rais John Magufuli na kuahidi kuwa benki yake itawekeza zaidi ya...

26Apr 2018
Paul Mabeja
Nipashe

VIJANA zaidi ya 150 wamepatiwa mafunzo ya ujasiriamali na stadi za maisha kupitia mradi wa VIA...

26Apr 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

MELI ya Mapinduzi II inayosafirisha abiria kutoka Unguja kwenda kisiwani Pemba inaendelea...

15Apr 2018
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili

SERIKALI imesema inakusudia kufanya utafiti kuhusiana na tathmini ya vihatarishi vilivyoko...

15Apr 2018
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili

WADAU wa Bandari ya Dar es Salaam, wameziomba mamlaka zinazofanya kazi na bandari hiyo kuungana...

15Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

SERIKALI mkoani Geita imewapiga marufuku watumishi wa serikali kujimilikisha vizimba na vibanda...

14Apr 2018
Cynthia Mwilolezi
Nipashe

VIJANA nchini wametakiwa kuacha kulalamikia ajira, badala yake wajiunge katika vikundi ili...

14Apr 2018
Romana Mallya
Nipashe

KAMPUNI ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart), imesema wafanyakazi 191 wanaotoa huduma za ukataji...

14Apr 2018
Ashton Balaigwa
Nipashe

WAZIRI wa Kilimo, Dk. Charles Tizeba, ameshangazwa na kitendo cha mashamba makubwa kuongozwa na...

Pages