BIASHARA »

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo Pesa, Angelica Pesha (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kabla ya kukabidhi zawadi kwa mawakala wa Tigo Pesa, waliofanya vizuri katika promosheni inayojulikana ‘Wakala Cash In Promotion’. Wengine ni washindi wakubwa kutoka Kanda ya Pwani, Suleiman Hussein (kushoto) na Vicky Ibrahim.PICHA: MPIGAPICHA WETU

17Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

ZAIDI ya mawakala 2,000 wa huduma ya Tigo Pesa, wamejishindia zawadi za fedha taslimu zaidi ya shilingi milioni 160 kwenye promosheni ya mwezi mmoja inayojulikana kama ‘Wakala Cash In Promotion...

Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dk. Samuel Gwamaka.

17Jun 2019
Enock Charles
Nipashe

BARAZA la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEM), limeshukuru taasisi na mamlaka zote...

17Jun 2019
Dege Masoli
Nipashe

WAKULIMA wa mboga na matunda Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, wamepata fursa ya kipekee ya soko...

09Feb 2016
Nipashe

UONGOZI soko la Buguruni, Jijini Dar es Salaam, umeilalamikia Mansipaa ya Ilala kwa kushindwa...

09Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe

WAFANYAKAZI wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel wameungana na mpango Airtel Fursa kuwafikia...

08Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe

MENEJA wa kiwanda cha kutengeneza bia TBL cha Dar es Salaam, Calvin Martin, amesema kuwa...

08Feb 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe

BENKI ya Ushirika ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCB), imepokea zaidi ya Sh. milioni 671, kutoka...

08Feb 2016
Nipashe

WAFUGAJI wa ng’ombe wa maziwa na nyama Kanda ya Mashariki, wameishauri Serikali kuwatengea...

08Feb 2016
Nipashe

WANAWAKE nchini wametakiwa kuwa na utaratibu wa kumiliki ardhi, kujiwekea akiba, kujiunga na...

Pages