BIASHARA »

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, akifundisha wakulima wa Kijiji cha Ipumbulya, wilayani Igunga jana kanuni 10 za kilimo cha pamba katika ziara yake ya kuhamasisha kilimo cha zao hilo. PICHA: TIGANYA VINCENT

10Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, ameagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Igunga kuwachukulia hatua za haraka wakulima wote wa pamba ambao wamekataa kung’oa miti ya pamba ya msimu...

10Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAWEKEZAJI wa ndani wamehimizwa kutumia fursa zinazotolewa na Mamlaka ya Ukanda Maalum wa...

10Dec 2019
Rahma Suleiman
Nipashe

WASANII wa sanaa za maigizo Zanzibar wametakiwa kuzisajili kazi zao katika Ofisi ya Msajili wa...

11Aug 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe

HATUA ya Serikali ya Awamu ya Tano kuhamia Dodoma kabla ya mwaka 2020, na juhudi zinazoanza...

11Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WANANCHI na wakulima wa mikoa ya Kanda ya Ziwa wameelimishwa kuhusu faida na matumizi ya kilimo...

11Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ihakikishe...

11Aug 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe

SERIKALI imesema itaendelea kushirikiana na wakulima kuongeza ubora wa mazao ili kukidhi matakwa...

10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeshauriwa kurudisha maduka ya ushirika, kutokana na...

10Aug 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe

CHAMA cha Wananchi (CUF) Zanzibar, kimesema hatua ya Serikali kuwatimua wafanyabiashara ndogo...

Pages