BIASHARA »
WANANCHI wa Mkoa wa Dodoma wameshauriwa kutunza mazingira kwa njia ya kisiki hai ili kukabiliana na athari za mabadilikio ya tabianchi.
TATIZO la uzalishaji na usambazaji wa mbegu feki za mazao mbalimbali kwa wakulima katika mikoa...
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Anna Mghwira, ameanzisha kampeni maalum ya kuwatumia wageni...
WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amekubali kuwa mgeni Rasmi wa...
WASOMI wanaomaliza vyuo vya elimu ya juu nchini wametakiwa kujiunga kwa pamoja na kuwekeza...
BAADHI ya viongozi wa Kijiji cha Budushi, wilayani Kahama, wameulalamikia mgodi wa dhahabu wa...
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Selemani Jafo,...
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Khalid Salum Mohamed, amesema wizara yake imefanikiwa kulipa...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro, imewatoa hofu wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama...
Pages
Picha »

1. Ofisa Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya Tigo, Tarik Boudiaf, akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe, wakati alipotembelea vyombo vya habari vya IPP, Mikocheni jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni Mkurugenzi wa Masoko wa IPP, Joyce Luhanga (kushoto), Meneja Masoko na Mauzo, Kauthar D’souza (wa pili kushoto na Mhariri wa Gazeti la The Guardian, Wallace Mauggo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Alhajj Ali Mohamed Shein, akihutubia Baraza la Eid El Haji, katika viwanja vya Dole, Wilaya ya Magharibi A Unguja jana. PICHA: IKULU ZANZIBAR
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na watoto baada ya kushiriki Ibada ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es Salaam jana. PICHA: OWM