BIASHARA »

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Kanda ya Afrika Mashariki, Dkt. Nyamajeje Weggoro, akizungumza jambo wakati Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (kushoto) akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambapo pia anatarajiwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma. Katikati ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb).

26Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk. Akinumwi Adesina, ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa Rais John Magufuli na kuahidi kuwa benki yake itawekeza zaidi ya...

26Apr 2018
Paul Mabeja
Nipashe

VIJANA zaidi ya 150 wamepatiwa mafunzo ya ujasiriamali na stadi za maisha kupitia mradi wa VIA...

26Apr 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

MELI ya Mapinduzi II inayosafirisha abiria kutoka Unguja kwenda kisiwani Pemba inaendelea...

24Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango (TBS) zinatoa mafunzo...

24Apr 2018
Augusta Njoji
Nipashe

OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), katika mwaka wa fedha 2018/19...

24Apr 2018
Augusta Njoji
Nipashe

BUNGE limeelezwa kuwa Shirika la Umeme nchini(Tanesco)limekuwa likijiendesha kwa hasara lakini...

24Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SEKTA binafsi imatakiwa kuhakikisha fedha  inazokopa kwa ajili ya uwekezaji au biashara...

23Apr 2018
Marco Maduhu
Nipashe

MKOA wa Shinyanga umekagua na kuhakiki zaidi ya mizani 600 kabla ya msimu wa kuuza pamba kuanza...

23Apr 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SERIKALI imesema iimejipanga kukabiliana na changamoto ya uchache wa maghala ya kuhifadhia mazao...

Pages