BIASHARA »
VIONGOZI wanne wa Chama cha Ushirika wa Mazao (Amcos) cha Manio, wilayani Siha, wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kujipatia Sh. Milioni 60.8 isivyo halali ambazo ni mali...
SERIKALI imeutaka Umoja wa wenye Viwanda vya Mazao ya Misitu Kanda ya Kaskazini (Nofia)...
SHIRIKA la Maendeleo la Uholanzi (SNV) na Chama cha Wakulima wa Alizeti nchini (Sufa), wako...
WALIMU wa Shule za sekondari na vyuo kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, wamepewa mafunzo ya...
MENEJA wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Venance Mashiba,...
SIKU chache baada ya Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia...
WAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga, amefanya ziara ya siku moja wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani na...
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Makumu wa Rais (Muungano na Mazingira), Musa Sima, ametoa wito kwa...
WANANCHI wa Mkoa wa Dodoma wameshauriwa kutunza mazingira kwa njia ya kisiki hai ili...
Pages
Picha »

1. Ofisa Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya Tigo, Tarik Boudiaf, akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe, wakati alipotembelea vyombo vya habari vya IPP, Mikocheni jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni Mkurugenzi wa Masoko wa IPP, Joyce Luhanga (kushoto), Meneja Masoko na Mauzo, Kauthar D’souza (wa pili kushoto na Mhariri wa Gazeti la The Guardian, Wallace Mauggo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Alhajj Ali Mohamed Shein, akihutubia Baraza la Eid El Haji, katika viwanja vya Dole, Wilaya ya Magharibi A Unguja jana. PICHA: IKULU ZANZIBAR
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na watoto baada ya kushiriki Ibada ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es Salaam jana. PICHA: OWM