Beyonce arusha video kimyakimya

08Feb 2016
Nipashe
Beyonce arusha video kimyakimya

BEYONCE amekuja na mshangazo wa pekee na aina yake baada ya kuachia video 'singo' akishirikisha Blue Ivy.

Video hiyo inakwenda kwa jina la "Formation" na aliichomoa chimbo mwishoni mwa wiki iliyopita. Mashabiki wake tayari wameshikwa na butwaa na hamu kubwa ya kushuhudia 'mitoko' hiyo mipya katika mtindo wa 'singo'.
Haya ndiyo mambo ya Beyonce, kimyakimya lakini yanalipa.

Habari Kubwa