Naachia mbili mpya-Ben Pol

06Feb 2016
Nipashe
Naachia mbili mpya-Ben Pol

MWIMBAJI wa R&B, Ben Pol, anatarajia kuachia albam mpya pamoja na video zenye hadhi ya kimataifa mapema mwaka huu.

Ben Pol. Amayetamba kwa aina hiyo ya muziki, alisikika hivi karibuni akisema hayo yote yatatimia ifikapo Mei mwaka huu, hivyo mashabiki wake wakae tayari kupokea ujio huo.
“Watu wategemee albamu yangu na video mbili nzuri miezi sita hii ya kwanza, nyimbo hizo zinaweza kuchezwa popote Duniani.” Alisema Ben Pol.

Habari Kubwa