Rais niteue Waziri wa Utamaduni-Mpoto

06Feb 2016
Nipashe
Rais niteue Waziri wa Utamaduni-Mpoto

BAADA ya kutoka na ngoma kali ya ‘Sizonje’ mwimbaji maarufu wa muziki wa sili, Mrisho Mpoto, maarufu kama ‘Mjomba’ angepata nafasi ya kuteuliwa nafasi ya Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, angekuwa balozi mzuri wa kuitangaza Tanzania.

Akizungumza hivi karibuni, Mpoto, mkali hiyo wa mashairi yenye utata, alisema Tanzania bado haijanufaika na kazi za kitamaduni, hivyo anahitajika mtu atakayefanya kazi ya kuitangaza kimataifa.
“Mimi Ningependa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo kwa sababu tuna makabila mengi, byakula, ludha nyingi, huu ni mtaji tosha lakini havijulikani katika Nyanja za kimataifa,” alisema Mpoto.

Habari Kubwa