SAFU »

KITENDO cha baadhi ya wenzetu kuiba viti vya shule na kuviuza kama vyuma chakavu kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari hivi karibuni kinatia kinyaa.

UMEKUWA ni kama utamaduni wa baadhi ya mashabiki wa soka hapa nchini kwa sasa kuwa kila Timu ya Taifa (Taifa Stars), inapofanya vibaya, basi 'jumba bovu' linamwangukia kocha mkuu wa timu hiyo.

MARA zote kanuni na pengine sheria, zinaelekeza kuwa mtu anapomiliki radhi kwa namna yoyote anakutana na wajibu wa ulazima kwamba akifanyie matumizi yanayostahili, akioanisha na mukusudi ya...

PAMBA ni miongoni mwa mazao matano ya kimkakati, ambayo serikali imeamua kuyawekea mkazo maalum kuyaendeleza, pia kuyatafutia masoko, ili wakulima wanufaike na yenyewe ikipata kodi.

BARAZA la Mitihani Taifa (NECTA), limefuta matokeo ya watahiniwa 215 waliobainika kufanya udanganyifu katika mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana.

AMEBAKI mchezaji mmoja tu ambaye alikuwa yupo kwenye michuano ya Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) iliyofanyika nchini Ivory Coast mwaka 2009 kuanzia Februari 22 hadi Machi 8. Si...

MNAOKUMBUKA simulizi za zamani, hamtanisahihisha nikikumbuka ile ya Kalumekenge aliyekataa kwenda shule, ikabidi aombwe mbwa amng’ate, ili aende shule.

ZIKIWA zimesalia wiki mbili kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, anayemaliza muda wake, kuondoka Ikulu Jumba Jeupe (White House), hali ilichacha na kuchafuka kweli kweli. Mnamo Januari 6, 2021...

OFISI za vijiji zina wajibu wa kutumia fursa walizo nazo katika vijiji ili kutatua changamoto katika maeneo yao.

BUNGE ndilo linalohusika na maamuzi muhimu yahusuyo nchi kuanzia kutunga sheria, bajeti za serikali, sera, mipango na mambo mengine muhimu kwa ajili ya maendeleo ya taifa.

WAZAZI na walezi ni wadau muhimu wa elimu wenye mchango mkubwa wa kuhakikisha watoto wanafanya vizuri katika masomo na mitihani, kwa ajili ya maendeleo yao ya baadaye.

NI ukweli usipingika kabisa kuwa uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, kuruhusu michezo kuendelea wakati nchi zingine zikiwa zimejifungia ndani kutokana na janga la...

ENZI za mwishoni mwa ukoloni Tanganyika, tuliokuwa tunasikia na kuelewa na hata tukisikiliza redio za Rising na Phillips, tulizoea kumsikia Mwalimu Julius Nyerere akiita au kuwatambulisha Bwana...