SAFU »

18Jul 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KATIKA maisha ya kawaida ya binadamu, moja ya jambo muhimu kwake ni afya njema, ambayo inaambatana na uhakika wa kupata matibabu pale anapougua ili aweze kufanya shughuli zake kikamilifu.

18Jul 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UNAPOTAKA mwanao apate elimu nzuri kwa sasa, yumkini shule binafsi zitakuwa ni mojawapo ya eneo utakaloliangalia.

17Jul 2018
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mjadala

BAJETI ya serikali ya mwaka 2018/19 imepitishwa na mwaka wa fedha umeanza kutekelezwa.

17Jul 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANZANIA kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kidunia kwa vyama vilivyokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi kutoka kwa wakoloni katika nchi za...

16Jul 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADA ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), kuruhusu wachezaji 10 wa kigeni kumekuwa na mijadala mingi ikipinga suala hilo.

16Jul 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KUNA dhana imejengeka kwa sasa nchini Tanzania hasa linapokuja suala la usajili, juu ya wachezaji wenye umri mkubwa na vijana.

15Jul 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, unajua yapo mambo mengi yaliyojificha kabla ya ndoa, ndani ya ndoa na baada ya ndoa. Watu wengi wanafurahia ndoa lakini yale yaliyojificha hawayajui.

15Jul 2018
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

UCHAGUZI wa mbunge wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma na kata 79 unatarajiwa kufanyika  mwezi ujao, Agosti 12, na kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kampeni  zinaanza  leo.

14Jul 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HUWEZI kumuua nyoka aliyekutokea kwa kutegemea fimbo ya jirani. Methali  hii yatufunza kuwa hatuwezi mambo au shughuli zetu kwa kutegemea msaada wa watu wengine au tusiokuwa nao.

14Jul 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

NAKALA ya hukumu ya mahakama huhitajika pale kesi au shauri linapokuwa limefika mwisho. Kwa maana nyingine maamuzi ya mahakama ndiyo hukumu. Hapa ndipo wahusika wanapojua nani ameshinda au...

13Jul 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI ya miji mikubwa nchini, ikiwamo Dar es Salaam, imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya wingi wa watoto wanaofanya kazi mitaani, badala ya kwenda shule, hali ambayo haina budi kupatiwa ufumbuzi...

12Jul 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa marudio wa mbunge wa Jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma na kata 79, ambazo ziko wazi, kwamba utafanyika Agosti 12 mwaka huu.

11Jul 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ASASI Zisizo za Kiserikali (NGOs) zimekuwa na mchango mkubwa katika suala zima la kuchangia maendeleo ya raia na taifa kwa ujumla.

Pages