SAFU »

03Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

JUNI mwaka 2012, aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dk. William Mgimwa, alisema serikali ilikuwa imepoteza zaidi ya Sh. bilioni 5.4 kwa kulipa mishahara kwa watumishi hewa 9,949 katika kipindi...

03Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI Msomaji, mwaka jana niliandika makala safu hii ambapo jamaa alikuwa akilalamikia tabia ya mkewe ya kutoa mambo ya ndani ya nyumba na kuyapeleka nje, mengine yakileta chuki kwa ndugu.

03Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

WIKI iliyopita tulizungumzia kuhudu ugonjwa wa fangasi na leo tunamalizi jinsi ya kujiepusha na tatizo hili. Kadhalika tutaanza sehemu ya kwanza ya makala vidonda tumbo…

02Apr 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

KASHESHE iliyotokea hivi karibuni kule kwa akina Omushuma aramu mushaija… ilimuacha mlevi hoi pamoja na mibangi na ulabu wake.

02Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“ASIYEONYWA huona kwa macho yake.” Maana yake mtu anayekanywa kisha akayapuuza maonyo yale huishia kufikwa na madhara.

01Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

Tangu aingie madarakani Rais Dk. John Magufuli, jambo ninalolitambua kuwa wazi zaidi ni ajenda yake ya utendaji kwa haki na uwajibikaji.

01Apr 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

MADA ya uwekezaji kwenye dhamana za serikali, ambayo tunayo kwa wiki kadhaa sasa katika safu hii inaendelea.
Awali niseme tu kwamba, kwa wafanyabiashara wa ngazi zote walio na hamu ya kujua...

31Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mjadala

MATUKIO ya hivi karibuni kabisa yaliyotokea katika hospitali za mkoani Mtwara na Mwanza, kwa kile kinachoitwa udhalilishaji katika taaluma ya afya kwa namna yoyote ile,....

31Mar 2016
Peter Orwa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA mjadala unaoendelea kuhusiana na ama lugha ya Kiingereza kiendelee kutumiwa kufundishia katika ngazi ya elimu kuanzia sekondari au umefika wakati mabadiliko yafanyike, Kiswahili ndiyo...

30Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

IMEKUWA ni kawaida kuwasikia ama kuwashuhudia baadhi ya wabunge wakikemea na kuikosoa serikali kuhusu baadhi ya watendaji wake kukumbwa na tuhuma za kujihusisha na ubadhirifu wa mali za umma,...

30Mar 2016
Komba Kakoa
Nipashe
Mjadala

NIANZE kwa kumpongeza Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kwa ushindi mnono alioupata katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20 mwaka huu.

30Mar 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limechafuka. Kiti cha kiongozi wake, Spika ambaye kwa sasa ni Job Ndugai kimechafuka na mamlaka ya maadili kwa baadhi ya kamati zake imetoweka. Ndivyo...

29Mar 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

TOLEO la gazeti hili Januari 26, 2016 niliandika makala niliyoipa kichwa “Nawachokoza magwiji wa Kiswahili” nikiuliza maswali matatu.

Pages