SAFU »

03Dec 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

MTU anayekataa kwao huwa mtumwa mahali anapoishi. Twakumbushwa umuhimu wa kuzikumbuka asili zetu au tutokako. Twapaswa kuwaonea fahari wazazi wetu au hata mataifa yetu.

02Dec 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUKIO la golikipa wa Timu ya Soka ya Wanawake ya Zanzibar Queens, Hajra Abdallah, kuangua kilio baada ya kufungwa mabao 7-0 dhidi ya Tanzania Bara katika mechi ya mashindano ya Kombe la Chalenji,...

30Nov 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUTEMBEA kwingi ni kujua mengi kwa kuwa mtu anaishia kukusanya maarifa mengi. Methali hii yatunasihi tutembee na kujifunza mengi.

30Nov 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

WATU wengi wamekuwa wakijiuliza ikiwa mmoja wa wanandoa aliyepelekea ndoa kuvunjika kama anastahili mgawo wa mali? Mfano, mwanamke katika ndoa anaanzisha chokochoko makusudi ili ndoa ivunjike...

29Nov 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHERIA inapotungwa mahali popote ni wajibu wa kila mtu kuzifuata. Mtu anayevunja sheria kwa makusudi, anastahili kuchukuliwa hatua.

28Nov 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HISTORIA inaonyesha mchakato wa kupigania haki za wanawake kote duniani, ulianza takriban karne moja iliyopita na bado juhudi za kupigania zinaendelea, ili kuhakikisha, kile kilichokusudiwa...

27Nov 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UCHAGUZI wa serikali za mitaa umemalizika huku Chama Cha Mapinduzi(CCM) kikishinda vijiji 12,260 sawa na asilimia 99.9.

26Nov 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

WAHENGA wetu walituachia utajiri wa methali zenye maana na mafunzo. Kwa mfano, “Chombo hakiendi ikiwa kila mtu anajipigia kasia.”

26Nov 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KAMBI za kitaaluma zimekuwa na mchango mkubwa kwa wanafunzi katika kufikia maendeleo ya juu ya elimu kwa kuwawezesha kufanya vizuri kwenye mitihani yao na hivyo kuwa na uhakika wa kusonga mbele...

25Nov 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MBWANA Samatta kama angekuwa ni Mganda, Mkenya, Mzambia au hata raia ya Madagascar tu, basi angepewa heshima kubwa tofauti na baadhi ya mashabiki wa soka la Tanzania wanavyomchukulia.

23Nov 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA kawaida bahati huweza kuleta mambo ya ajabu lakini haitabiriki. Kwa hiyo ni vigumu kuitabiri bahati. Methali hii yatuhimiza tufanye bidii bila kutegemea miujiza.

23Nov 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

SIKU za nyuma Nipashe iliwahi kuchapisha makala na kuandika namna au jinsi ambavyo sheria inakataza viongozi wa serikali za mitaa wakiwamo watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa, wajumbe...

22Nov 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI miaka sasa, bodaboda ndizo zinalalamikiwa kwa ajali na kuongoza kusababisha vifo na majeruhi, kutokana na ajali za barabarani nchini.

Pages