SAFU »

20May 2018
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

MATAIFA mengi yaliyoendelea kiuchumi mafanikio yake yamepatikana kwa jitihada mbalimbali, lakini kubwa zaidi ni uwekezaji kwenye utafiti na ukuzaji wa sayansi na teknolojia ambayo msingi wake upo...

20May 2018
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MSEMO kuwa nyumbani kwako ndipo ulipo na moyo wako pengine haufahamiki kwa vile kwenye maandiko vitabu vitakatifu havijauzungumzia.

19May 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

MSAMIATI wa NGO si mgeni miongoni mwa Watanzania, umezoeleka kutumika kwenye maeneo na muktadha mbalimbali. Hiki ni kifupi cha neno Non Governmental Organisation.

19May 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘USHABIKI’ ni hali au tabia ya kupenda sana jambo au kitu fulani; hali ya kuwa shabiki, tendo la kushabikia. Kama huna uvumilivu, usikiapo maneno ya mashabiki wa Simba na Yanga, ondoka taratibu...

18May 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Mjadala

SUALA la choo ni kitu muhimu sana katika jamii na ndio maana tunahimizwa tuwe nayo katika makazi yetu, kwa ajili ya usalama wa afya.

18May 2018
Margaret Malisa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA jana katika mwezi kama huu, ilikuwa tarehe sita, Watanzania tulipatwa na pigo kubwa la ajali mbaya iliyotokea wilayani Karatu na kusababisha vifo vya wanafunzi 32, walimu wawili, dereva...

17May 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Mjadala

LEO ni Siku ya Kimataifa ya Shinikizo la Damu. Kuna fursa zinazotolewa kwa ajili ya kupima afya zetu, hivyo ni jukumu letu kuzichangamkia kwa ajili ya kumpima na kujua kila kitu kinachotusumbua,...

17May 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Hassan Nasir Ally, ametangaza kwamba kuanzia sasa, watu wote watakaowadhihaki kinamama kulingana na maumbile yao, wajitambue wako mtatatani,...

16May 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SENSA ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 inaonyesha kuwa asilimia 70 ya Watanzania wote ambao idadi yao sasa ni takribani watu milioni 50 wanaishi vijijini, huku asilimia 30 wakiwa mijini.

16May 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MMOMONYOKO wa maadili ni miongoni mwa changamoto kubwa, ambayo inaendelea kuwakumba watu wa rika mbalimbali kuanzia kwa vijana hadi watu wazima, hali ambayo inapaswa kukemewa na kila mmoja wetu....

15May 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limekuwa likiteketeza bidhaa zenye ubora hafifu na zilizokwisha muda wake zinazoingizwa na kuuzwa nchini ili kuwanusuru walaji na matatizo wanayoweza kukumbana...

15May 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAARIFA zinazodai kuwapo kwa njama za kuingizwa sokoni jijini Dar es Salaam kwa nyama ya ng’ombe ambao walikuwa wachinjwe wakati wakiwa tayari wamekufa maarufu kama kibudu ni za kusikitisha.

15May 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

GAZETI hili unalosoma sasa, toleo la Aprili 28, 2018 liliniweka pabaya baada ya waandishi niliokutana nao kunambia: “kabla ya kukosoa Kiswahili kwenye magazeti mengine, kosoa gazeti unaloandikia...

Pages