SAFU »

14May 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TIMU kongwe za soka nchini Simba na Yanga ambazo zinashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kila kukicha zimekuwa zinalia kukosa fedha za kujiendesha kutokana na kiasi kidogo cha pesa wanazoingiza.

13May 2018
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

JITIHADA zimefanyika kuhakikisha kuwa mabasi yanakwenda kwa kasi inayoruhusiwa na sekta ya usafirishaji abiria inaboreshwa ili kuwawezesha abiria kupata haki ya msingi ya kusafiri salama na...

13May 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

NAITWA Ezekiel Wa Ngota, natoka wilaya ya Malinyi mkoni Morogoro.

13May 2018
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

ULE msemo kuwa aisifiaye mvua imemnyea unadhihirika kwa wanaoishi mabondeni ambao huteswa na mafuriko.

12May 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

MAHAKAMANI ni mahali pa kutafuta haki kwa misingi ya sheria tena ni eneo ambalo kila mmoja ana haki ya kuingia na kutumia huduma zake.

12May 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘NENO’ ni mpangilio wa sauti zilizoandikwa au kutamkwa zenye kuleta maana; jambo linalohitaji kujadiliwa. ‘Tendo’ ni jambo linalofanywa; jambo linalotendwa.

11May 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MABASI ya mwendokasi tumezoea tukiyapanda, kila inapokaribia kufika katika kituo, yanatangaza ili kumwezesha abiria kujua kituo anachoshuka na hayatangazi tangazo lingine lolote.

10May 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANZANIA inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya milioni 50, waliogawanyika katika makundi matatu; watoto, vijana na wazee, ambao kila mmoja ana mchango wake katika jamii, kama zilivyo zingine duniani...

09May 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KIMSINGI kila binadamu angependa na anaomba kuwa na afya njema kwa sababu ni kigezo kimojawapo cha kupiga hatua za kimaendeleo kwa mtu binafsi, familia, jamii na taifa kwa ujumla.

08May 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mjadala

MIFUKO ya Plastiki ina athari kubwa kwa mazingira na afya ya binadamu licha ya kutumika katika shughuli mbalimbali za kuhifadhia vitu.

08May 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHIRIKA la Petroli Tanzania (TPDC), litaanza utaratibu wa kusambaza gesi asilia kwenye nyumba 70 za maeneo ya Mwenge, Chuo Kikuu, Survey, Mwenge na Mikocheni.

08May 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“MTU atwawapo ghururi mbele yake ni maumivu.” Ghururi ni madanganyo au hadaa. Methali hii yatwambia anayehadaika na ulimwengu huishia kufikwa na maafa.

07May 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KATIKA hali isiyo ya kawaida, mara baada ya mechi dhidi ya  Simba, wachezaji karibuni wote tegemeo wa timu ya Yanga  hawakuonekana tena kambini kujiandaa na mechi dhidi ya USM  Alger.

Pages