SAFU »

07May 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KLABU ya Yanga jana walitupa karata yao ya kwanza kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi, kwa kuivaa USM Alger ya Algeria.

06May 2018
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

KATIKA uongozi wake, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, kulikuwa na mambo kadhaa ambayo alikuwa akiyachukia ikiwamo matumizi mabaya ya rasilimali za umma.

06May 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, yapo mambo mengine ukiyasikia, unabakia kucheka kutokana na jinsi unavyoyapokea.

06May 2018
Yasmine Protace
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

USAFIRI wa daladala ni huduma inayotumiwa na watu wa makundi mbalimbali kuwatoa sehemu moja na kuwapeleka maeneo mengine kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi mijini.

05May 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIDHAMU ni adabu ya mtu mbele ya wengine; ni mpangilio maalumu wa kufanya jambo. Adabu ni utaratibu unaokubalika katika kufanya jambo; heshima, nidhamu.

05May 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KUNA matatizo mengi zama hizi kati ya wapangaji na wenye nyumba kuhusu notisi ya kuondoka au kufukuzwa kwa nguvu ama kuondolewa ndani ya nyumba walizopanga.

04May 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA 2010 Rais Dk. Jakaya Kikwete aliutangaza ugonjwa wa malaria kuwa ni janga la taifa na akawaambia Watanzania kuwa, serikali yake imeanza safari ya kuutokomeza ugonjwa huo nchini. 

03May 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUTOKANA na hizi mvua kuendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi, ambayo katika baadhi ya maeneo hayo hali sio nzuri.

02May 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kwa muda mrefu limekuwa likihimiza jamii kutambua na kuzingatia umuhimu wa kutii sheria za nchi na taratibu zake bila shuruti.

01May 2018
Frank Monyo
Nipashe
Mjadala

MOJA ya vipaumbele vya serikali ya Rais John Pombe Magufuli, ni cha kukusanya kodi.

01May 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUMAMOSI ya mwisho ya kila mwezi, ilitangazwa na serikali kuwa siku maalum ya usafi nchini.

01May 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

‘HERUFI’ ni kiwakilishi cha sauti kinachoandikwa. Isipoandikwa ipasavyo, yaweza kupotosha maana iliyokusudiwa. ‘Maudhui’ ni wazo kuu linaloelezwa katika kazi ya fasihi; wazo linaloelezwa katika...

30Apr 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LIGI Kuu Tanzania Bara msimu huu inaelekea ukingoni ambako zimebaki mechi chache kabla ya pazia la ligi hiyo, iliyoanza Agosti mwaka jana kufungwa.

Pages