SAFU »

29Apr 2018
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

JESHI LA POLISI kama chombo cha dola cha kusimamia utekelezaji wa sheria za jamhuri linafanyakazi kwa misingi ya kisheria, miongozo na maadili katika kutimiza wajibu mkuu wa kulinda na kutetea utu...

29Apr 2018
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

NI nadra unapotumia uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), mzigo wako kuachwa salama bila kuchakachuliwa na baadhi ya vitu kupotea.

29Apr 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, suala la mahusiano bado ni kizungumkuti miongoni mwa vijana wengi. Wapo wanaingia wakiwa bado hawajatuliza akili zao na hivyo kukumbana na mitihani migumu.

28Apr 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘MSEMAJI’ ni mtu aliyechaguliwa au kuteuliwa kuwasilisha mawazo ya wenzake kuhusu jambo; mtu mwenye ufasaha mkubwa katika kujieleza.

28Apr 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

YAPO mambo tunatakiwa kuyazungumza mara kwa mara ili watu wayaelewe.

24Apr 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

SIKU hizi twalazimisha maneno mengi ya Kiingereza kuwa Kiswahili ilhali yapo ya Kiswahili. Hata baadhi yetu twashindwa kuongea Kiswahili fasaha kwa kupenyeza maneno ya Kiingereza.

24Apr 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

SHUGHULI ya kiuchumi ambayo inakubalika kuwa uti wa mgongo wa taifa kwa miaka mingi ni ya kilimo.

24Apr 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya changamoto kubwa kwenye shule za umma (serikali) ni ile ya kukosekana kwa maabara za kuwawezesha wanafunzi kusoma kwa vitendo.

23Apr 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KWA sasa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii, wapenzi na mashabiki wengi wa Yanga wanafurahia zaidi timu hiyo kupata  Sh. milioni 600 kuliko hata kufuzu kwenye hatua ya makundi  ya Kombe la...

23Apr 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

YANGA wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kuitupa nje Welayta Dicha ya Ethiopia.

22Apr 2018
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

MOJA ya maeneo yaliyoathirika kwa kiasi kikubwa kwa mafuriko ni masoko ya jiji la Dar es Salaam, ambayo ni chanzo cha mapato kilichosahauliwa na mkusanyaji (Halmashauri).

22Apr 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, yapo mambo mengine ukikutana nayo, yanakupa mtihani mkubwa ambao hukutarajia.

22Apr 2018
Yasmine Protace
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

WATENDAJI mpo vijijini kwa ajali ya kusaidia inayowazunguka katika kutatua kero zao.

Pages