SAFU »

08Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUMAMOSI iliyopita, wanachama wa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam walifanya mkutano mkuu wa dharura ulioitishwa ndani ya siku tano.

07Aug 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

NDOA nyingi huenda zimekuwa katika mgogoro na kushindwa kuelewana ndani ya nyumba au familia kukosa matunzo kwa sababu ya baba kuendekeza ulevi kupita kiasi na kudhihirisha ukweli kuwa ulevi ni...

07Aug 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MABALOZI wote wanaoiwakilisha nchi hii katika nchi mbalimbali duniani wanalo jukumu kubwa la kuwa pia mabalozi wa kuutangaza utajiri wa vivutio vya utalii vilivyopo nchini.

06Aug 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya kuboreka na kuchoshwa na siasa za majitaka pale ‘Idodomya’ambapo Chama Cha Magamba (CCM),

06Aug 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘IGA’ (igwa, igia, igiza, igizana, igizika) ni kitendo cha mtu kufanya jambo kwa namna ileile iliyofanywa na mtu mwingine. ‘Igiza’ (igizwa, igizia) kitendo cha kufanya jambo kwa kufananisha na...

05Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mjadala

UBORESHAJI wa huduma za afya ya uzazi na kuongeza vituo vya afya, zahanati na hospitali ni mhimili wa kuimarisha afya na uhai wa mwanamke mjamzito. Sekta hiyo imekuwa ikizungumzwa sana, lakini...

05Aug 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA kawaida kila mtu anahitaji, na anaomba awe na afya bora ili aweze kuwa na uwezo wa kufanya shughuli zake mbalimbali za kumuwezesha yeye, familia yake, jamii na taifa kwa ujumla kustawi.

04Aug 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HILLARY Clinton, ni Mgombea wa kinyang`anyiro cha urais kupitia chama Cha Democrat, nchini Marekani, kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu nchini humo.

03Aug 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KUMBUKUMBU zinaonyesha kuwa safari ya Serikali kuhamia Dodoma ilianzia tangu mwaka 1970, lengo likiwa ni kuutumia mji huo ambao uko katikati ya nchi kuwa kituo cha kuhudumia Watanzania wote.

03Aug 2016
Owden Kyambile
Nipashe
TUJIKUMBUSHE

MMOJA wa Makamanda katika Jeshi la Israel (IDF), ambaye ana historia katika nchi hiyo na hata katika uga wa kimataifa ni Yonatan Netanyahu.

03Aug 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

VIWANDA ndiyo ‘habari ya mjini’ kwenye serikali hii ya Dk. John Magufuli.

02Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAKUNDI ya kihalifu mitaani miongoni mwake ni ‘panya road’ bado yanatikisa maisha ya watu na mali zao .Yanadaiwa kufanywa na vijana wa kihuni, ambao wamejipa uhalali wa kuwa huo ni mradi wao wa...

02Aug 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

MENGI yamesemwa kuhusu hatari kubwa inayowakabili watu wanaovaa nguo za ndani za mitumba. Hata hivyo, baadhi yao kwa kufahamu au kwa kiburi wanaendelea kutumia nguo hizo kama kwamba mambo ni...

Pages